Magufuli Haeleweki !!

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Rais Magufuli mara nyingi anashangaza sana na wakati mwingine HAELEWEKI. Ninaposem Haeleweki nina maana ya kusema HATABIRIKI his next move!

Labda amekuwa mwanafunzi mzuri wa msemo huu wa Kiingereza usemao‘
”When people KNOW you they DESTROY you, when they FAIL to know you they CALL YOU names”/
“Watu WAKIKUFAHAMU zaidi HUKUHARIBIA mambo yako. Na WANAPOSHINDWA kukufahamu basi huamua HUKUITA MAJINA ya ajabu ajabu”

Labda ndo maana Magufuli ameitwa majina mengi ya ajabu ajabu.Maana baadhi ya watu hawamwelewi.
Kwa kifupi “Magufuli is an enigma Politician”/” Mwanasiasa ASIYEELEWEKA kwa URAHISI.

Na he keeps his cards CLOSE to his chest/Mipango yake ni ya kujua yeye mwenyewe yaani ni MSIRI sana. Na pengine hiyo tabia ni kwa ajili ya advantage yake dhidi ya Mahasidi wake!

Mwanzoni mwa mwaka huu 2019
ALITUSHANGAZA sana baada ya kuuanza mwaka na wakuu wa DINI alipowaita WAMSHAURI na pia wamwombee. Jambo ambalo hamna mtu aliyelitegemea kuwa lingefanyika hasa kuonekana kwa watu kama Askofu Gwajima na Askofu Kakobe mwiongoni mwa waalikwa Ikuluni. Hi nalo lilitushangaza kuwa Magufuli SI mtu mwenye kukaa na KINYONGO bali ni mtu na ANAYESAMEHE haraka.

Hilo pia LINATUSHANGAZA. Ni watu wachache san ambao husamehe wanapokosewa!

Juzi pia Askofu Gwajima ka secure an appointment IKULU pamoja na wageni wake na kuwa na maongezi na Rais Magufuli.

Hapo pia AMETUSHANGAZA sana kuwa Magufuli ni mtu anayesahau na KUSAMEHE!

Tangu afanye mazungumzo na WAKUU wa DINI mwanzonI mwa mwaka HUU,wengine wao wamekuwa si nadra katika mikutano yake ya zinduzi wakifanya MAOMBI.

Hapo pia nazidi KUSHANGAA!

Haikuchukua muda mrefu baada ya kukutana na viongozi wa Dini Magufuli AKATUSHANGAZA tena kwa kuelewana na aliyekuwa MPINZANI wake mkuu kwenye UCHAGUZI uliopita Mh.Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa mpaka akatangaza kukihama chama cha CHADEMA na KURUDI CCM. Na Magufuli akiwa hapo kumpokea.
Hapo napo AKATUSHANGAZA wengi!

Juzi juzi AMETUSHANGAZA pia alipoamua kufanya ziara za nchi kadhaa za Kusini mwa Afrika kwa MKUPUO , na aliporudi nyumbani akaja na KIKAPU KILICHOJAA mapochopocho/Goodies kwa ajili ya WANANCHI wake. Zikiwemo nafasi za AJIRA kwa Watanzania kuwa ma EXPATRIATES wa kufundisha KIswahili katika nchi hizo alizozuru kama tulivyosoma kwenye magazeti na kusikia habari.
Waliokuwa wakikidharau Kiswahili wamebaki WAKISHANGAZA tu !!!!!!!!!!

Hili basi LINATIMIZA MSEMO wa Magufuli alioanza nao akiingia Madarakani kuwa “Tanzania tutakuwa a DONOR country in terms of expertise etc/nk.”

Kulingana na ufahamu wangu, tofauti kati ya mwanasiasa na KIONGOZI ni kuwa
1.Mwanasiasa asiye na UONGOZI ndani yake mara nyingi HUANGALIA na kuwa na UCHU wa MADARAKA ili ATAWALE watu. Hii tabia siioni kwa Magufuli. Ali beep tu na mengine ni historia!

2.Mwanasiasa aliye na UONGOZI ndani
yake yeye huangalia zaidi jinsi ATAKAVYOWEZA KUYABORESHA maisha ya WATU anaowaongoza hadi VIZAZI vijavyo ili hata wakati yeye anapokuwa ametoka MADARAKANI vizazi hivi viweze KUMKUMBUKA!
Sijui na sina uhakika lakini huenda Magufuli AKATUSHANGAZA tena na JIPYA siku za USONI.
HATULIJUI ni lipi
Na kama hilo JIPYA ni kwa ajili ya MANUFAA ya TAIFA letu basi tutamuunga mkono ipasavyo..
 
Kwa mfano angekua hafai, hajui anafanya nini zaidi ya kutafuta credibility, au angekuwa muongo anaposema miradi yote tunatumia pesa za ndani wakati deni la taifa linaongezeka, au angekuwa anaminya demokrasia, mngemesemaje au mgesema ukweli kama ulivyo?! Maana sasa hivi kwasababu aliahidi na anatekeleza mnasema hivyo, je mngesemaje kama angefanya tofauti na matarajio ya watanzania?!
 
Rais Magufuli mara nyingi anashangaza sana na wakati mwingine HAELEWEKI. Ninaposem Haeleweki nina maana ya kusema HATABIRIKI his next move!

Labda amekuwa mwanafunzi mzuri wa msemo huu wa Kiingereza usemao‘
”When people KNOW you they DESTROY you, when they FAIL to know you they CALL YOU names”/
“Watu WAKIKUFAHAMU zaidi HUKUHARIBIA mambo yako. Na WANAPOSHINDWA kukufahamu basi huamua HUKUITA MAJINA ya ajabu ajabu”

Labda ndo maana Magufuli ameitwa majina mengi ya ajabu ajabu.Maana watu hawamwelewi.
Kwa kifupi “Magufuli is an enigma Politician”/” Mwanasiasa ASIYEELEWEKA kwa URAHISI.

Na he keeps his cards CLOSE to his chest/Mipango yake ni ya kujua yeye mwenyewe yaani ni MSIRI sana. Na pengine hiyo tabia ni kwa ajili ya advantage yake dhidi ya Mahasidi wake!

Mwanzoni mwa mwaka huu 2019
ALITUSHANGAZA sana baada ya kuuanza mwaka na wakuu wa DINI alipowaita WAMSHAURI na pia wamwobee. Jambo ambalo hamna mtu aliyelitegemea kuwa lingefanyika hasa kuonekana kwa watu kama Askofu Gwajima na Askofu Kakobe mwiongoni mwa waalikwa Ikuluni. Hi nalo lilitushangaza kuwa Magufuli SI mtu mwenye kukaa na KINYONGO bali ni mtu na ANAYESAMEKE haraka.

Hilo pia LINATUSHANGAZA. Ni watu wachache san ambao husamehe wanapokosea!

Leo pia Askofu Gwajima ka secure an appointment IKULU pamoja na wageni wake na kuwa na maongezi na Rais Magufuli.

Hapo pia AMETUSHANGAZA sana kuwa Magufuli ni mtu anayesahau na KUSAMEHE!

Tangu afanye mazungumzo na WAKUU wa DINI mwanzonI mwa mwaka HUU,wengine wao wamekuwa si nadra katika mikutano yake ya zinduzi wakifanya MAOMBI.

Hapo pia nazidi KUSHANGAA!

Haikuchukua muda mrefu baada ya kukutana na viongozi wa Dini Magufuli AKATUSHANGAZA tena kwa kuelewana na aliyekuwa MPINZANI wake mkuu kwenye UCHAGUZI uliopita Mh.Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa mpaka akatangaza kukihama chama cha CHADEMA na KURUDI CCM. Na Magufuli akiwa hapo kumpokea.
Hapo napo AKATUSHANGAZA wengi!

Juzi juzi AMETUSHANGAZA pia alipoamua kufanya ziara za nchi kadhaa za Kusini mwa Afrika kwa MKUPUO , na aliporudi nyumbani akaja na KIKAPU KILICHOJAA mapochopocho/Goodies kwa ajili ya WANANCHI wake. Zikiwemo nafasi za AJIRA kwa Watanzania kuwa ma EXPATRIATES wa kufundisha KIswahili katika nchi hizo alizozuru kama tulivyosoma kwenye magazeti na kusikia habari.
Waliokuwa wakikidharau Kiswahili wamebaki WAKISHANGAZA tu !!!!!!!!!!

Hili basi LINATIMIZA MSEMO wa Magufuli alioanza nao akiingia Madarakani kuwa “Tanzania tutakuwa a DONOR country in terms of expertise etc/nk.”

Kulingana na ufahamu wangu, tofauti kati ya mwanasiasa na KIONGOZI ni kuwa
1.Mwanasiasa asiye na UONGOZI ndani yake mara nyingi HUANGALIA na kuwa na UCHU wa MADARAKA ili ATAWALE watu. Hii tabia siioni kwa Magufuli. Ali beep tu na mengine ni historia!

2.Mwanasiasa aliye na UONGOZI ndani
yake yeye huangalia zaidi jinsi ATAKAVYOWEZA KUYABORESHA maisha ya WATU anaowaongoza hadi VIZAZI vijavyo ili hata wakati yeye anapokuwa ametoka MADARAKANI vizazi hivi viweze KUMKUMBUKA!
Sijui na sina uhakika lakini huenda Magufuli AKATUSHANGAZA tena na JIPYA siku za USONI.
HATULIJUI ni lipi
Na kama hilo JIPYA ni kwa ajili ya MANUFAA ya TAIFA letu basi tutalisapoti na tutamsapoti vilivyo.

Kesho ni IDD au sio IDD? Tuanzie hapo!
 
Kwa mfano angekua hafai, hajui anafanya nini zaidi ya kutafuta credibility, au angekuwa muongo anaposema miradi yote tunatumia pesa za ndani wakati deni la taifa linaongezeka, au angekuwa anaminya demokrasia, mngemesemaje au mgesema ukweli kama ulivyo?! Maana sasa hivi kwasababu aliahidi na anatekeleza mnasema hivyo, je mngesemaje kama angefanya tofauti na matarajio ya watanzania?!
Je una habari kuwa katikla Jumuia ya Afrika Mashariki Tanzania ina DENI DOGO sana kuliko jirani zetu?
 
Rais Magufuli mara nyingi anashangaza sana na wakati mwingine HAELEWEKI. Ninaposem Haeleweki nina maana ya kusema HATABIRIKI his next move!

Labda amekuwa mwanafunzi mzuri wa msemo huu wa Kiingereza usemao‘
”When people KNOW you they DESTROY you, when they FAIL to know you they CALL YOU names”/
“Watu WAKIKUFAHAMU zaidi HUKUHARIBIA mambo yako. Na WANAPOSHINDWA kukufahamu basi huamua HUKUITA MAJINA ya ajabu ajabu”

Labda ndo maana Magufuli ameitwa majina mengi ya ajabu ajabu.Maana baadhi ya watu hawamwelewi.
Kwa kifupi “Magufuli is an enigma Politician”/” Mwanasiasa ASIYEELEWEKA kwa URAHISI.

Na he keeps his cards CLOSE to his chest/Mipango yake ni ya kujua yeye mwenyewe yaani ni MSIRI sana. Na pengine hiyo tabia ni kwa ajili ya advantage yake dhidi ya Mahasidi wake!

Mwanzoni mwa mwaka huu 2019
ALITUSHANGAZA sana baada ya kuuanza mwaka na wakuu wa DINI alipowaita WAMSHAURI na pia wamwombee. Jambo ambalo hamna mtu aliyelitegemea kuwa lingefanyika hasa kuonekana kwa watu kama Askofu Gwajima na Askofu Kakobe mwiongoni mwa waalikwa Ikuluni. Hi nalo lilitushangaza kuwa Magufuli SI mtu mwenye kukaa na KINYONGO bali ni mtu na ANAYESAMEKE haraka.

Hilo pia LINATUSHANGAZA. Ni watu wachache san ambao husamehe wanapokosewa!

Leo pia Askofu Gwajima ka secure an appointment IKULU pamoja na wageni wake na kuwa na maongezi na Rais Magufuli.

Hapo pia AMETUSHANGAZA sana kuwa Magufuli ni mtu anayesahau na KUSAMEHE!

Tangu afanye mazungumzo na WAKUU wa DINI mwanzonI mwa mwaka HUU,wengine wao wamekuwa si nadra katika mikutano yake ya zinduzi wakifanya MAOMBI.

Hapo pia nazidi KUSHANGAA!

Haikuchukua muda mrefu baada ya kukutana na viongozi wa Dini Magufuli AKATUSHANGAZA tena kwa kuelewana na aliyekuwa MPINZANI wake mkuu kwenye UCHAGUZI uliopita Mh.Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa mpaka akatangaza kukihama chama cha CHADEMA na KURUDI CCM. Na Magufuli akiwa hapo kumpokea.
Hapo napo AKATUSHANGAZA wengi!

Juzi juzi AMETUSHANGAZA pia alipoamua kufanya ziara za nchi kadhaa za Kusini mwa Afrika kwa MKUPUO , na aliporudi nyumbani akaja na KIKAPU KILICHOJAA mapochopocho/Goodies kwa ajili ya WANANCHI wake. Zikiwemo nafasi za AJIRA kwa Watanzania kuwa ma EXPATRIATES wa kufundisha KIswahili katika nchi hizo alizozuru kama tulivyosoma kwenye magazeti na kusikia habari.
Waliokuwa wakikidharau Kiswahili wamebaki WAKISHANGAZA tu !!!!!!!!!!

Hili basi LINATIMIZA MSEMO wa Magufuli alioanza nao akiingia Madarakani kuwa “Tanzania tutakuwa a DONOR country in terms of expertise etc/nk.”

Kulingana na ufahamu wangu, tofauti kati ya mwanasiasa na KIONGOZI ni kuwa
1.Mwanasiasa asiye na UONGOZI ndani yake mara nyingi HUANGALIA na kuwa na UCHU wa MADARAKA ili ATAWALE watu. Hii tabia siioni kwa Magufuli. Ali beep tu na mengine ni historia!

2.Mwanasiasa aliye na UONGOZI ndani
yake yeye huangalia zaidi jinsi ATAKAVYOWEZA KUYABORESHA maisha ya WATU anaowaongoza hadi VIZAZI vijavyo ili hata wakati yeye anapokuwa ametoka MADARAKANI vizazi hivi viweze KUMKUMBUKA!
Sijui na sina uhakika lakini huenda Magufuli AKATUSHANGAZA tena na JIPYA siku za USONI.
HATULIJUI ni lipi
Na kama hilo JIPYA ni kwa ajili ya MANUFAA ya TAIFA letu basi tutalisapoti na tutamsapoti vilivyo.

Hamna akili mle

Yeye kwake kila kitu kinatokea kwa accident

Unamzungumzia as if ni jitu fulani hivi lenye akili na mipango kumbe hajawahi na hataweza kua hivyo!

Get real ma nigga!
 
"Unajua kijana mwanaume anatakiwa kubadilikabadilika, hatakiwi kutabirika ,leo anafanya hiki kesho anafanya kile".. MAREHEMU MZEE MAJUTO kwenye Movie ya NAKWENDA KWA MWANANGU..
 
Kwa mfano angekua hafai, hajui anafanya nini zaidi ya kutafuta credibility, au angekuwa muongo anaposema miradi yote tunatumia pesa za ndani wakati deni la taifa linaongezeka, au angekuwa anaminya demokrasia, mngemesemaje au mgesema ukweli kama ulivyo?! Maana sasa hivi kwasababu aliahidi na anatekeleza mnasema hivyo, je mngesemaje kama angefanya tofauti na matarajio ya watanzania?!
Na wewe hujaeleweka kama yeye
 
Je una habari kuwa katikla Jumuia ya Afrika Mashariki Tanzania ina DENI DOGO sana kuliko jirani zetu?
Hahaha kwani deni letu litalipwa na jumuiya?! Sasa hao jirani zetu wanini hapa? Mi niliuliza wangesemaje kama ingekuwa hivyo?!
 
Back
Top Bottom