YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Magufuli staili yake inafurahiwa sana na walalahoi (Lumpen Proletariats) na ndio waliompa kura wengi Asikatishwe tamaa na mafisadi.Kwani uchaguzi uliopita ulikuwa ni uchaguzi kati ya wenye nacho (Mafisadi na vibaraka wao) Na wale wasiokuwa nacho ambao ni walalahoi.
Walalahoi wakashinda na Raisi wao Magufuli.
Kilichopo ni mapambano kati ya walioifanya nchi shamba la bibi ambao ni mabepari na mabeberu weusi wakitanzania wakipambana na walalahoi wakiongozwa na kamanda Magufuli.
Magufuli simama imara songa mbele walahoi wako na wewe na ndio walio wengi.