Magufuli City (Mji wa Kiserikali) na Historia Kuntu itakayoendelea

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,077
12,756
Magufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini.

Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI.

Baada ya uamuzi wa KUHAMISHIA WIZARA ZA NCHI jijini DODOMA na kuendelea na kazi mjini huko basi utastaajabu uzuri wa ofisi hizo ambazo zinaonekana kuwa BORA ,NZURI ,NDOGO na zilizojengwa kwa GHARAMA NAFUU.

Eneo hilo ndiko zitapojengwa OFISI BALOZI ZA NCHI ZOTE ambazo ZITAZIDI KUIONGEZEA DODOMA UCHUMI MKUBWA NA FURSA TOFAUTI.

*****************************
WITO WANGU.

Wakazi wa Dodoma ni fursa ADHIMU kwenu KUENDELEA kuongeza KASI YA KUSOMESHA WATOTO NA VIJANA WENU ili waendane na KASI YA UKUAJI WA JIJI LA DODOMA ambako WATAALAMU WA AINA MBALIMBALI na wabunifu wa BIASHARA Watakuwa na SOKO KUBWA huko MBELENI in shaa Allah.

MWENDA ZAKE HAYATI MAGUFULI ataendelea KUBAKI MIOYONI MWETU KWA MIAKA MINGI kutokana na MAONO YAKE YA *DHAHABU NA UTHUBUTU WENYE UTEKELEZAJI KUNTU.

#SiempreCCM
#Hasta la Victoria Tanzania
#KAZIINAENDELEA

FB_IMG_16186545161672398.jpg

FB_IMG_16175774120769685.jpg

FB_IMG_16186544738118371.jpg

FB_IMG_16186544623890314.jpg

FB_IMG_16177069280338245.jpg
 
Magufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini.

Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI.

Baada ya uamuzi wa KUHAMISHIA WIZARA ZA NCHI jijini DODOMA na kuendelea na kazi mjini huko basi utastaajabu uzuri wa ofisi hizo ambazo zinaonekana kuwa BORA ,NZURI ,NDOGO na zilizojengwa kwa GHARAMA NAFUU.

Eneo hilo ndiko zitapojengwa OFISI BALOZI ZA NCHI ZOTE ambazo ZITAZIDI KUIONGEZEA DODOMA UCHUMI MKUBWA NA FURSA TOFAUTI.

*****************************
WITO WANGU.

Wakazi wa Dodoma ni fursa ADHIMU kwenu KUENDELEA kuongeza KASI YA KUSOMESHA WATOTO NA VIJANA WENU ili waendane na KASI YA UKUAJI WA JIJI LA DODOMA ambako WATAALAMU WA AINA MBALIMBALI na wabunifu wa BIASHARA Watakuwa na SOKO KUBWA huko MBELENI in shaa Allah.

MWENDA ZAKE HAYATI MAGUFULI ataendelea KUBAKI MIOYONI MWETU KWA MIAKA MINGI kutokana na MAONO YAKE YA *DHAHABU NA UTHUBUTU WENYE UTEKELEZAJI KUNTU.

#SiempreCCM
#Hasta la Victoria Tanzania
#KAZIINAENDELEA

View attachment 1785755

View attachment 1785756

View attachment 1785757

View attachment 1785759

View attachment 1785760
Hilo eneo liitwe jina jingine, huyu alipojua anakaribia kufa, akawa anavamia Kila sehemu anaita jina lake, mara stendi ya mbezi, daraja huko mwanza, mara mji wa serikali, kumuita magufuli city ni kama kuufananisha na Mali yake binafsi
 
😁😄😃😀😆😅Akawa Anatoa Jina Lake Tu
 
Hilo eneo liitwe jina jingine, huyu alipojua anakaribia kufa, akawa anavamia Kila sehemu anaita jina lake, mara stendi ya mbezi, daraja huko mwanza, mara mji wa serikali, kumuita magufuli city ni kama kuufananisha na Mali yake binafsi
Madison WI....Rais wa US James Madison

Lincoln NE......Rais wa US Abraham Lincoln

Washington DC...GEORGE WASHINGTON

Yaani uumie KWA sababu tu eneo ndani ya JIJI kuitwa MAGUFULI CITY ?!!! 😳😳😳

#Siempre JMT🙏
 
Back
Top Bottom