MAGUFULI CHOMA KUNGUNI NGUONI MWAKO

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Katika Pekua pekua Nimekuta Video yangu ya wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, Kidogo Ningeifuta Lakini Kwa Kinachoendelea sasa (1) Ombeni Sefue, (2) Januari Makamba (3) Muhagama etc, Inafanya Nione Hii Video ipo more relevant sasa than ever!



MaCCM na ViCCM Karibuni Mtukane na Kubeza, Wapenda Nchi yetu angalieni Mlinganishe na tonayo sasa. (Kuna aliyesema Wapinzani wantakiwa Kusubiri miaka 50, sasa wanatekeleza Ka Fiat msemo huo)
 
Acha ushamba wewe sasa kama january kapewa hela na dada yake kuna ubaya gani
 
Back
Top Bottom