Elections 2010 Magufuli CHATO na BULANDES Karagwe Chali!!!

Status
Not open for further replies.
tupeni numbers wakuu........tukumbuke yule **** wa CCM alisema ushindi ni mahesabu na namba.
 
Kama kweli Magufuli ni chali it is all over for CCM..................Hii yamaanisha ya kuwa CCM imepoteza miliki ya bunge...
 
Acheni kejeli na mizaha. hakuna anayeweza kunywa ile pombe hadi yeye mwenyewe aipoze. Leteni data mpya.
 
Kutoka source za kuaminika taarifa zaidi aliyenazo.

Eng. Kenge Hizi habari ni za kweli au tunaanza utaratibu wa kurushana roho hapa kwenye JF? Kama kweli lete Data kwani Pombe ni kati ya vigogo wa CCM.
 
Jamani mi nadhani tusiharibu maana ya habari,tunahitaji habari ambazo zitazaidia kujuwa habari kamili,kwa mzee konyagi ni noma na kama tumechuwa basi tuna tisha

mapinduziiiiiii daimaaaaaaa
 
Duh, Hizi habari za kuanguka kwa Tyson na magufuli siwezi ziamini.
Kama kweli kwa upande wa magufuli CCM ina Mkono, Yaani hawajatoa msaada wa kuchaka... kama sehemu nyingine. Niulize,
Huyu jamaa si kati ya wale mawaziri walio jaziwa kwenye list ya mawaziri wapya na kalamu ya mkono?
If you remember his name was added to a typed list by an Ink pen. Zilizuka story nyingi sana of which najua humu ndani mnazijua!!
 
Kutoka source za kuaminika taarifa zaidi aliyenazo.
nachukia mijitu inayeanzhisha thread ikiwa hainA SUBSTANCE... TITLE YAKO NA CONTENT HAVIENDANI... I HATE THIS ONE

WE NEED AUTHENTIC PEOPLE SIO VUVUZELA
 
haiwezekani katika hili, labda kuwe na jingine ndani yake. Sasa unafanya tusome hizi post mara 3 X 3 na kwa source tofauti.
 
Wakuu let us maintain our integrity of JF. Tulete matokeo kwa data na siyo habari za kudhani na ku-predict. Wanamageuzi hoyeeeeeeeeeee
 
Kwa Mugufuli hapana...Ingawaje ni CCM ila ni mtendaji mzuri..Hututaki kupoteza watu watendaji kama hawa...tunataka kuwatoa wahuni wote...
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom