Magufuli Bus Terminal haijakidhi viwango vya kuitwa stendi ya Kimataifa

Wapendwa jana nilikwenda kupokea mgeni kutoka mkoani ambaye aliniomba nikampokee pale Mbezi Luis kwenye stand mpya ya Magufuri, binafsi nilikuwa sijawahi kuingia ndani ya hiyo stand tangu izinduliwe Ila mara nyingi nimesikia na kusoma ktk vyombo vya habari hapa Tanzania wakiisifia kuwa ni stand ya kimataifa

Hata hivyo kila nilipo pita Morogoro rd hapo Mbezi Luis niliona kwa nje jengo hilo limavutia kwa macho hivyo nikawa naamini kuwa kweli ni stand ya kimataifa.

Jana basi ndio nikaingia humo ndani kwa mara ya kwanza ili nipokee mgeni kutoka mkoani, kwa kweli stand hiyo ni ya kimtaa na sio kimataifa kwa sababu

1. Hakuna alama ama maelekezo yoyote kwa mgeni isipokuwa kuna utitiri wa machinga, wapiga debe, wabeba mizigo wenye kuleta usumbufu kwa abiria.

2. Hakuna taarifa yoyote kuhusu kuwasili kwa bus husika

3. Hakuna viti vya kukaa kwa wale wanaosubiria wageni wao.
(mfano, stand za mwendo kasi kuna mabenchi ya kukaa kwa abiria waosubiria usafiri) lakini kwa hii stand unakalia kingo ya parking

4. Mrundikano wa wauza mikate walioweka meza zao za mikate pasipo mpangilio wowote, wauza Jojo, wauza fegi, wauza dawa za kienyeji na mambo mengi yanayo fanana na hayo

Sijajua hasa mataifa gani yanaitumiaga hii stand hadi iitwe stand ya kimataifa Ila najua chinga, wasukuma mikokoteni na maasai wauza mitishamba ndio watumiaji wakuu kibiashara ktk hii stand na wote ni watanzania tu

Anayejua ukimataifa wa hii stand ulipo anijuze tafadhari.
View attachment 1837197View attachment 1837198View attachment 1837201
Hakuna viti au sio, unafki kitu mbaya sana.
IMG_20210417_164116_751.jpg
IMG_20210417_164105_806.jpg
IMG_20210417_164104_454.jpg
IMG_20210417_164240_097.jpg
IMG_20210417_164301_831.jpg
 
Hamkosi maneno nyinyi waswahili.

Baba ako mwenyewe anaishi kwenye kijumba cha tope anakula vumbi halafu unataka kujifanya unajua viwango vya stendi ya kimataifa?

Unajua nini kuhusu stendi ya kimataifa wewe?

Ohh stendi haina vigezo! Vigezo gani unavyovitaka kwa mfano?

Unataka kunya kwenye vigae?

Pumbavu kabisa!

Wewe fanya kilichokupeleka hapo uondoke! Mengine waachie wahusika!

Eti vigezo!
tatizo lKo ni uelewa mdogo.. n ubishi wa kisiasa usokuwa na maana..
jamaa kasema ukweli unaoonekana ila wew unaliweka lidomo lako hilo kutuoa tusi.. yawezekana we ni muhusika wa walioijenga hiyo stendi .. ko mkiambiwa ukweli tusii..
kwanini ukweli ni sumu kwa waafrika??
 
Acha bhangi mzee hazikufai, hivi unaona watu kukaa chini kusubiri wageni wao ni sawa?
 
Kuna WACHAGA walijenga mahotel na magesti pembeni ya stendi ya ubungo.

Kitendo cha kuhamisha hiyo stendi ni pigo la karne. Wanaweweseka hawajui watalipaje hiyo mikopo.

Wanaichukia kweli kweli stendi ya Magufuli.

Nyinyi WACHAGA wala hamtusumbui. Tunawatambua kuliko.

Wenzenu wanachangamka wanawekeza vitega uchumi kwenye stendi mpya, nyinyi mnalia lia mitandaoni!
Ungejua ilipohamia sasa ndio wachaga walipo hata usingeropoka, stand ya ubungo ilizungukwa na hoteli za wakinga tu
 
tatizo lKo ni uelewa mdogo.. n ubishi wa kisiasa usokuwa na maana..
jamaa kasema ukweli unaoonekana ila wew unaliweka lidomo lako hilo kutuoa tusi.. yawezekana we ni muhusika wa walioijenga hiyo stendi .. ko mkiambiwa ukweli tusii..
kwanini ukweli ni sumu kwa waafrika??
Mataga ni watukanaji wajinga sana hawakubali kukosolewa
 
Stand za Tz ni nzuri ila tatizo Siasa.
Msemvu ilikuwa nzuri sana ila Hamnazo aliporuhusu Machinga, wanaenda kukusubiria chooni...

Mbezi ilikuwa nzuri ila walipoingiza siasa ili ifunguliwe kabla haijamalizika na kuruhusu wachuuzi, hapo ndio ikawa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wale wauza mikate wmeruhusiwa kuchafua ndani ya stendi ya Magufuri
 
Wapendwa jana nilikwenda kupokea mgeni kutoka mkoani ambaye aliniomba nikampokee pale Mbezi Luis kwenye stand mpya ya Magufuri, binafsi nilikuwa sijawahi kuingia ndani ya hiyo stand tangu izinduliwe Ila mara nyingi nimesikia na kusoma ktk vyombo vya habari hapa Tanzania wakiisifia kuwa ni stand ya kimataifa

Hata hivyo kila nilipo pita Morogoro rd hapo Mbezi Luis niliona kwa nje jengo hilo limavutia kwa macho hivyo nikawa naamini kuwa kweli ni stand ya kimataifa.

Jana basi ndio nikaingia humo ndani kwa mara ya kwanza ili nipokee mgeni kutoka mkoani, kwa kweli stand hiyo ni ya kimtaa na sio kimataifa kwa sababu

1. Hakuna alama ama maelekezo yoyote kwa mgeni isipokuwa kuna utitiri wa machinga, wapiga debe, wabeba mizigo wenye kuleta usumbufu kwa abiria.

2. Hakuna taarifa yoyote kuhusu kuwasili kwa bus husika

3. Hakuna viti vya kukaa kwa wale wanaosubiria wageni wao.
(mfano, stand za mwendo kasi kuna mabenchi ya kukaa kwa abiria waosubiria usafiri) lakini kwa hii stand unakalia kingo ya parking

4. Mrundikano wa wauza mikate walioweka meza zao za mikate pasipo mpangilio wowote, wauza Jojo, wauza fegi, wauza dawa za kienyeji na mambo mengi yanayo fanana na hayo

Sijajua hasa mataifa gani yanaitumiaga hii stand hadi iitwe stand ya kimataifa Ila najua chinga, wasukuma mikokoteni na maasai wauza mitishamba ndio watumiaji wakuu kibiashara ktk hii stand na wote ni watanzania tu

Anayejua ukimataifa wa hii stand ulipo anijuze tafadhari.
View attachment 1837197View attachment 1837198View attachment 1837201
Haraka yetu tu, ila hapo bado sana!
 
Back
Top Bottom