Magufuli bring our country back,Tuishi kama tulivyozoea!!

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Watanzania wapenda nchi tuunganeni kupigania nchi yetu iendeshwe Kwa maslahi ya wananchi.

Iendeshwe kwa mjibu wa sheria sio matamko.

Tumeshagundua Rais na wasadizi wake nchi yetu wanaiendesha kwa uongo uongo kwa kujivika kofia ya uzalendo mifano ni mingi sana sina haja ya kuitaja.

Tupiganie nchi yetu iludishwe kwa watendaji na sio wanasiasa uchwara kuwaelekeza wasomi na watendaji wa serikali.

Tupiganie nchi yetu bandari irudishe mizigo kama zamani sio kukauka wanasiasa wanakuja na ngonjera eti ni hali ya uchumi wa dunia kuyumba.

Tupiganie nchi yetu kodi iwe rafiki kwa wawekezaji wote wawe wazawa au wageni Sio kupoteza kodi ya watu milioni 5 alafu unakusanya kodi kwa watu elfu 10 ambao kati yao kila mwezi unapoteza kodi kwa baadhi yao kufirisika.

Kwanini wajifunze kutawala ndani ya uongozi?

Lazima wananchi wote tutambue kuwa serikali haiwezi kuanguka ikikosa kodi sisi ndio tutaanguka na tu karibu kuanguka.

Magufuli na mawaziri wake hata mapato ya TRA yakishuka kufikia bilioni 1 wataichukua na kujaza mafuta kwenye magari yao ya kifahari na maisha kuendelea kwao je mwanachi anayefirisika sasa atapata wapi hata mikopo wakati hali ya bank nayo ni tete?.

Viongozi wengi wa kiafrika hawana cha kupoteza wengi wao hawana uchungu na nchi zao wana uchungu na maslahi yao ya kisiasa hata mapato yakishuka kuwa Milioni 500 kwa mwezi watazigawana na kuendelea kuwa ofisini mwao..

Mfano Mdogo ni kwa Mugabe ambaye aliwavuruga wawekezaji hasa wa mashamba hali ni tete na bado anaendelea kusafiri na msafara wa watu zaidi ya 100 na kutumia pesa ya walipa kodi bila huruma huku wananchi wa Zimbabwe wengi wakiishi kama wakimbizi nje ya nchi ,kuna wazimbabwe Milioni 4 wanaishi nje ya Zimbabwe kwa sasa.

Je, na sisi tunataka kwenda uko majibu ni hapana magufuli bring our country back sisi tulio wengi tunataka kuendelea kuishi kama tulivyozoea. Bora utuibie huku unatupa kidogo kidogo kuliko kutuibia huku hatupati hata chenji.
 
Kuna threads nyingi kuhusu hili suala labda wanaweza kukuelewa na kukusikia mkuu
 
4e74289e6fd76bebe0a9ceff3267df32.jpg
 
Watanzania wapenda nchi tuunganeni kupigania nchi yetu iendeshwe Kwa maslahi ya wananchi.

Iendeshwe kwa mjibu wa sheria sio matamko.

Tumeshagundua Rais na wasadizi wake nchi yetu wanaiendesha kwa uongo uongo kwa kujivika kofia ya uzalendo mifano ni mingi sana sina haja ya kuitaja.

Tupiganie nchi yetu iludishwe kwa watendaji na sio wanasiasa uchwara kuwaelekeza wasomi na watendaji wa serikali.

Tupiganie nchi yetu bandari irudishe mizigo kama zamani sio kukauka wanasiasa wanakuja na ngonjera eti ni hali ya uchumi wa dunia kuyumba.

Tupiganie nchi yetu kodi iwe rafiki kwa wawekezaji wote wawe wazawa au wageni Sio kupoteza kodi ya watu milioni 5 alafu unakusanya kodi kwa watu elfu 10 ambao kati yao kila mwezi unapoteza kodi kwa baadhi yao kufirisika.

Kwanini wajifunze kutawala ndani ya uongozi?

Lazima wananchi wote tutambue kuwa serikali haiwezi kuanguka ikikosa kodi sisi ndio tutaanguka na tu karibu kuanguka.

Magufuli na mawaziri wake hata mapato ya TRA yakishuka kufikia bilioni 1 wataichukua na kujaza mafuta kwenye magari yao ya kifahari na maisha kuendelea kwao je mwanachi anayefirisika sasa atapata wapi hata mikopo wakati hali ya bank nayo ni tete?.

Viongozi wengi wa kiafrika hawana cha kupoteza wengi wao hawana uchungu na nchi hii wana uchungu na maslahi yao hata mapato yakishuka kuwa Milioni 500 kwa mwezi watazigawana na kuendelea kuwa ofisini mwao..

Mfano Mdogo ni kwa Mugabe ambaye aliwavuruga wawekezaji hasa wa mashamba hali ni tete na bado anaendelea kusafiri na msafara wa watu zaidi ya 100 na kutumia pesa ya walipa kodi bila huruma huku wananchi wa Zimbabwe wengi wakiishi kama wakimbizi nje ya nchi ,kuna wazimbabwe Milioni 4 wanaishi nje ya Zimbabwe kwa sasa.

Je na sisi tunataka kwenda uko mjibu ni hapana magufuli bring our country back sisi tulio wengi tunataka kuendelea kuishi kama tulivyozoea .Bora utuibie huku unatupa kidogo kidogo kuliko kutuibia huku hatupati hata chenji.
Umeongea pointi kabisa. Ukifika South Africa Wazimbabwe ndio wafanyakazi wa majumbani na wanaume wakifanya kazi za u watchman. Endeleeni tu kuvumilia si mliambiwa Lowassa ni mgojwa
 
Watanzania wapenda nchi tuunganeni kupigania nchi yetu iendeshwe Kwa maslahi ya wananchi.

Iendeshwe kwa mjibu wa sheria sio matamko.

Tumeshagundua Rais na wasadizi wake nchi yetu wanaiendesha kwa uongo uongo kwa kujivika kofia ya uzalendo mifano ni mingi sana sina haja ya kuitaja.

Tupiganie nchi yetu iludishwe kwa watendaji na sio wanasiasa uchwara kuwaelekeza wasomi na watendaji wa serikali.

Tupiganie nchi yetu bandari irudishe mizigo kama zamani sio kukauka wanasiasa wanakuja na ngonjera eti ni hali ya uchumi wa dunia kuyumba.

Tupiganie nchi yetu kodi iwe rafiki kwa wawekezaji wote wawe wazawa au wageni Sio kupoteza kodi ya watu milioni 5 alafu unakusanya kodi kwa watu elfu 10 ambao kati yao kila mwezi unapoteza kodi kwa baadhi yao kufirisika.

Kwanini wajifunze kutawala ndani ya uongozi?

Lazima wananchi wote tutambue kuwa serikali haiwezi kuanguka ikikosa kodi sisi ndio tutaanguka na tu karibu kuanguka.

Magufuli na mawaziri wake hata mapato ya TRA yakishuka kufikia bilioni 1 wataichukua na kujaza mafuta kwenye magari yao ya kifahari na maisha kuendelea kwao je mwanachi anayefirisika sasa atapata wapi hata mikopo wakati hali ya bank nayo ni tete?.

Viongozi wengi wa kiafrika hawana cha kupoteza wengi wao hawana uchungu na nchi zao wana uchungu na maslahi yao ya kisiasa hata mapato yakishuka kuwa Milioni 500 kwa mwezi watazigawana na kuendelea kuwa ofisini mwao..

Mfano Mdogo ni kwa Mugabe ambaye aliwavuruga wawekezaji hasa wa mashamba hali ni tete na bado anaendelea kusafiri na msafara wa watu zaidi ya 100 na kutumia pesa ya walipa kodi bila huruma huku wananchi wa Zimbabwe wengi wakiishi kama wakimbizi nje ya nchi ,kuna wazimbabwe Milioni 4 wanaishi nje ya Zimbabwe kwa sasa.

Je, na sisi tunataka kwenda uko majibu ni hapana magufuli bring our country back sisi tulio wengi tunataka kuendelea kuishi kama tulivyozoea. Bora utuibie huku unatupa kidogo kidogo kuliko kutuibia huku hatupati hata chenji.
100% correct
 
mmekalia majungu uzushi uongo na uzandiki, acheni hizooo, fanyeni kazi
Kazi gani unayoiongelea mkuu???au kwa kuwa mkubwa wako kakukaririsha kuimba mambo ya kazi na wewe unakuja kupesti humu just as simple as that??kazi gani wakati hata wanaozifanya kazi za kujiajiri mmeua biashara zao kwa kodi zisizo na kichwa wala miguu,masoko hamtafuti nnje ya nchi mnaishia kukamua wananchi ili kuvunja rekodi za kijinga..then bado unakuja hapa kudanganya watu unafikiri wote wapuuzi?nyie ndo mnaoturudisha nyuma katika maendeleo yetu kwa kushabikia upuuzi.
 
Back
Top Bottom