maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Rais Magufuli
Tafadhali boresha maslahi ya watumishi wa umma ili kuondoa visingizio mbalimbali,hii itakusaidia sana utendaji kazi kuimarika.Leo mtu mwenye shahada anapata laki saba kama gross wakati wengine wanapata zaidi ya milion 35.
Pia ondoa tofauti ya mishahara kwa watumishi wa umma maana kwenye mashirika ya umma mwenye shahada anapata 1.2 million wakati local and central government laki saba.Huu ni ubaguzi au mashirika yalianzishwa kwa kuwaunganisha watoto wa vigogo?Kama wote wana save interest ya nchi kwa nini watofautiane?
Upande wa wakurugenzi kazi ni hiyo hiyo kana kwamba hizo kazi wengine hawaziwezi.
Weka mishahara sawa sasa hivi kuna watu wengi wanaotafuta kazi siyo kuwabembeleza watumishi wapi wafanye kazi.