Magufuli: Boresha huduma za maji, afya, umeme, elimu, na barabara

a4apple

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
927
1,131
Napenda kumkumbusha mkuu wa nchi kuwa aboreshe huduma za msingi za wananchi ambayo ni upatikanaji wa maji safi na salama, afya bora, elimu bora, Umeme, na Barabara. Mambo ya kununua midege aachane nayo hayamsaidii mwananchi wa kawaida
 
Back
Top Bottom