Magufuli azuru makaburi ya babu na bibi yake, Katoma Geita Vijijini

Upendo kwa mtu aliyetangulia mbele ya haki upo moyoni. Ni bora zaidi kumgeukia Mungu kumuombea rehema marehemu wako kuliko kuremba makaburi. Hizo ni sifa tu za binadamu hapa duniani, wala hazimsaidii lolote marehemu huko alipo. Makaburi yanatakiwa yasafishwe tu na kutunzwa kulinda yasipotee kwa faida ya historia tu si vinginevyo.
 
kwani mshahara wake hautoshi? We sema ni mtu ambaye hajali!

Sasa hajali kwao sijui watz wa kawaida itakuwaje!

JPM ni kama nyuki asiye na asali,majivuno,jeuri,kejeli ndio sifa zake!Waziri wa ujenzi unashindwa kujenga makaburi ya babu na bibi yako kama historia na kuonesha kujali huku ukihonga nyumba kwa Sundi Malomo!!
 
makaburi yanaongoza nchi?

yaani mtu mzima unakosa hoja yenye mantiki ya kisiasa halafu unakuja na masuala ya makaburi na urais. wewe unaonekana halafu ni mshirikina mno kwani wengi wao hupenda sana makaburi makaburi. akimjengea babu yake kaburi vizuri ndiyo ataiongoza tanzania vizuri?

ndiyo muda mwingine nachukia kujiita mtanzania kwani nahisi naweza kufananishwa na watu wenye akili mbovu na chafu kama wewe.
 
Upendo kwa mtu aliyetangulia mbele ya haki upo moyoni. Ni bora zaidi kumgeukia Mungu kumuombea rehema marehemu wako kuliko kuremba makaburi. Hizo ni sifa tu za binadamu hapa duniani, wala hazimsaidii lolote marehemu huko alipo. Makaburi yanatakiwa yasafishwe tu na kutunzwa kulinda yasipotee kwa faida ya historia tu si vinginevyo.

umemaliza kila kitu mkuu, akhsante na nakupa sasa hivi " like " yako.
 
angejenga makaburi ya hadhi yaliyoezekwa kwa tiles wanywa viroba wangemzodoa

mngesema ooh kodi zetu , mara sijui nini
kaacha kama mila na desturi zinavyosema imekuwa nongwa
Hivi ni nani kati yenu kajengea kaburi la babu yake hapa ..

Mbowe,sugu, na lema dawati la chuo kikuu hawajui linafananaje halafu eti anakwambia wao kipaumbele chao cha kwanza elimu, pili elimu, tatu elimu
 
Sijui kwa nini walimpeleka kwenye makaburi hayo , magufuri anashindwa hata kuweka tiles , nimemshinda hata mimi kapuku nimeweka tiles kaburi la babu yangu na bibi yangu.

Hii ni aibu kwa ccm kwa kumpeleka kwenye makaburi hayo.

Japo kuyaweka cement tu yawe katika hali nzuri
 
Back
Top Bottom