singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hilo gazeti sijui kama litasomwa Iringa maana DC wa Iringa anaweza kununua nakala zote kwani picha yake, story yenyewe na varangati lake na Msigwa ukichanganya yote ni kama gazeti hilo ni special kwake
Kwa kweli wana kiwewe....ila huyu wa Iringa ndio "show off" imekuwa babukubwa....nafikiri JPM atamfikiria maana jamaa kajitahidi kufanya "Publicity"Hilo gazeti sijui kama litasomwa Iringa maana DC wa Iringa anaweza kununua nakala zote kwani picha yake, story yenyewe na varangati lake na Msigwa ukichanganya yote ni kama gazeti hilo ni special kwake