Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Rais Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.

UKIMWI nyie, Tetemeko Nyie, Mna mto Unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko. Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa ngono.
 
Hivi Magu kashawahi kuishi Kingston Jamaica? au labda ana undugu na Peter Tosh? maana sometime ananiacha mdomo wazi... eti Mto Ngono, Kamachumu au Katerero, njiapanda ya Kyetema hahaha
hayo mengine aliyoyataja, achana na katerero, hayo mengine sijui yana maana gani kwa kihaya manake nimeona nshomile wamecheka kuliko hata katerero ilivyotajwa. hata hivyo wanajua kinachoendelea kwani hotel zote bukoba zina waterproof bedroom. ndio sehemu pekee tz utakuta kitu kama icho.
 
Back
Top Bottom