Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,002
- 112,625
He just call a spade a spade not a big spoon.
And I think he was trying to cheer people up by injecting levity in his address.
So I see nothing wrong with it really.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He just call a spade a spade not a big spoon.
Misconception
Mbona wananchi waliokuwa wanamsikiliza walikuwa wanacheka na kuitikia oye
Ina maana ww uliyekuwa nyuma ya keyboard una uchungu sana kuliko waliohudhuria mhadhara "waathirika"
Siyo kila jambo uliwekee -ve tu mjomba,jaribu kuwa positive
Nahofia, mbona kuna hotuba zake zingine zimetulia sana akinukuu takwimu kushoto na kulia bila matatizo. Sasa hili la kutumia mifano ya kiajabu ajabu, mhhh unahitaji kuwa na nguvu ya ziada mkuu!Hivi angekuwa anatumia kilevi sijui ingekuwaje.
Alikuwa anajaribu kuweka utani kwenye hotuba mkuu.Nahofia, mbona kuna hotuba zake zingine zimetulia sana akinukuu takwimu kushoto na kulia bila matatizo. Sasa hili la kutumia mifano ya kiajabu ajabu, mhhh unahitaji kuwa na nguvu ya ziada mkuu!
Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko..Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono..
"Kagera oyeeee, kagera safiiiii"Hivi angekuwa anatumia kilevi sijui ingekuwaje.
Hahaaa ila anajua kutoa za uso aisee kama una hasira inabidi ucheke manake ana ukweli mtupuHivi angekuwa anatumia kilevi sijui ingekuwaje.
Mkuu umenichekesha Sana. Ina maana wavaa makoti hawana hisiarais kumbe anaijua katerero?hahaha, aisee wakivaa makoti huwezi amini kama wanaijua hiyo katerero.dah
Hapindishi maneno.Hahaaa ila anajua kutoa za uso aisee kama una hasira inabidi ucheke manake ana ukweli mtupu
Mm pia sioni tatizo; naona hayo maneno aliyaingiza tu kama kufurahisha jukwaa.Hata mimi sioni tatizo kabisa.
Ni kwamba tu nimecheka sana....