Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
Hivi Magu kashawahi kuishi Kingston Jamaica? au labda ana undugu na Peter Tosh? maana sometime ananiacha mdomo wazi... eti Mto Ngono, Kamachumu au Katerero, njiapanda ya Kyetema hahaha
hayo mengine aliyoyataja, achana na katerero, hayo mengine sijui yana maana gani kwa kihaya manake nimeona nshomile wamecheka kuliko hata katerero ilivyotajwa. hata hivyo wanajua kinachoendelea kwani hotel zote bukoba zina waterproof bedroom. ndio sehemu pekee tz utakuta kitu kama icho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom