Magufuli awa kioo cha uwajibikaji kwa Marais wa Africa,

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,174
Katika maisha hakuna kizuri kinachokosa kasoro, hata ufanyeje hapa duniani hauwezi pendwa na wote hata kama utagawa pesa bila watu kufanya kazi, wapo watakaosema mbona haongezi pesa japo ni bure.

Mwaka 2015, mimi, mama yangu na mke wangu hatukuweza kumpigia kura ya ndio katika uchaguzi mkuu sio kwa sababu hawezi kuiongoza nchi bali kwa kujua hawezi futa falsafa ya chama ya kuiba pesa za walipa kodi,

Ila sasa ndo nimeamini kuwa aliposema "watanzania mnichague sitawaangusha" alikua anamaanisha, rais kafanya uwajibikaji ndani ya serikali kuwa mkubwa, kaondoa kwa 90% ule mlija wa watu kujilipa mishahara bila kuwepo watu wahusika, ameondoa mianya ya watu kuiba pesa kupitia mapato ya TRA, kaamua kufanya uhakiki wa watu kufanya kazi huku sifa siyo zao maana wanagushi vyeti ili kujaza ndugu zao na hili likikamilika watanzania tutegemee ajira nyingi kutangazwa na watoto maskini nao kufaidi matunda ya walichosomea,
Kaamua kuhakiki vyeti vya wanachuo na kujua kama kweli wamepata mikopo kihalali ili atakayepata mkopo afaidi usingizi aliokua anaupoteza ikiwa ni pamoja na kuweka sifa stahili za kujiunga na chuo kikuu na siyo unaingia chuo kiujanjaujanja,

Hatimaye kufikia Mwaka 2019 nchi za Africa zitamuomba ushauri Magufuli jinsi alivyofanikiwa.
 
Acha sarakasi basi ...povu jingi sana ...wakati unaongea meza mate na ujilambe lips
 
Maisha magumu, sukari bei juu mfumuko wa bei umeongezeka hii nchi inapoelekea siko wananchi wanyonge wanaumia sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aiseeee ccm siku hizi hamjambo maana huyu mtukufu kama huwa anapitia humu basi mtarajie ajira soon
 
Kwa Magufuli kila goti litapigwa.

Hata wapangusa viatu Vya Mbowe ipo siku watatubu na kuanza kutetea maslahi ya Taifa
 
Katika maisha hakuna kizuri kinachokosa kasoro, hata ufanyeje hapa duniani hauwezi pendwa na wote hata kama utagawa pesa bila watu kufanya kazi, wapo watakaosema mbona haongezi pesa japo ni bure.

Mwaka 2015, mimi, mama yangu na mke wangu hatukuweza kumpigia kura ya ndio katika uchaguzi mkuu sio kwa sababu hawezi kuiongoza nchi bali kwa kujua hawezi futa falsafa ya chama ya kuiba pesa za walipa kodi,

Ila sasa ndo nimeamini kuwa aliposema "watanzania mnichague sitawaangusha" alikua anamaanisha, rais kafanya uwajibikaji ndani ya serikali kuwa mkubwa, kaondoa kwa 90% ule mlija wa watu kujilipa mishahara bila kuwepo watu wahusika, ameondoa mianya ya watu kuiba pesa kupitia mapato ya TRA, kaamua kufanya uhakiki wa watu kufanya kazi huku sifa siyo zao maana wanagushi vyeti ili kujaza ndugu zao na hili likikamilika watanzania tutegemee ajira nyingi kutangazwa na watoto maskini nao kufaidi matunda ya walichosomea,
Kaamua kuhakiki vyeti vya wanachuo na kujua kama kweli wamepata mikopo kihalali ili atakayepata mkopo afaidi usingizi aliokua anaupoteza ikiwa ni pamoja na kuweka sifa stahili za kujiunga na chuo kikuu na siyo unaingia chuo kiujanjaujanja,

Hatimaye kufikia Mwaka 2019 nchi za Africa zitamuomba ushauri Magufuli jinsi alivyofanikiwa.

Acha sarakasi basi ...povu jingi sana ...wakati unaongea meza mate na ujilambe lips
Amekuumiza kwa hizo nondo? Pole sana bro.
 
Yaani umesema yote kwa sasa. Subiri viwanda vianze kutema bidhaa na kuondoa wasomi barabarani.
 
Magamba matatu umesemaa kweli kabisa, mnyonge mnyongeni lakini haki yake Mpeni. Mh rais ni kioo cha marais wengine. Tunako kwenda ni kwamba marais wengine watakuja kujifunza kwetu hasa usimamizi wamai ya umma, uadilifu, elimu bure kwa secondary na mengine mengi. Hongera sana rais wetu, nasi tunakuombea mungu akulinde, malaika wake wakulinde ili uendelee kutumikia sisi wanyonge. Kwa upande wangu, sijaona kiongozi muadilifu, imara.na mchapa kazi kama rais wetu. Mungu ibariki Tanzania
 
sijui ni lini watanzania tutakuwa na uwezo wa kufikiri hata kwa nusu hatua-ufujaji wa pesa na mirija ya pesa nyingi zinaibiwa kupitia Uwekezaji unaofanywa na Mult national companies nchini.Mapato ambayo yanaweza saidia 80% ya watanzania wote na huko Kama Magufuli akianza ndipo tutasema anafanya kazi kweli vinginevyo anachokifanya ni kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Kila ufisadi wa kutisha uliotokea Tanzania una elements za uwekezaji,huku ndipo kuna ESCROW,MELEMETA ,GREEN FINANCE,RICHMOND,BUZWAGI,LUGUMI,EPA,CIS na N.k
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maisha magumu, sukari bei juu mfumuko wa bei umeongezeka hii nchi inapoelekea siko wananchi wanyonge wanaumia sana
Nchi hii kitu muhimu ni sukari tu. Maana naona kila anayepost kumpongeza Mh Rais wetu JPM wanaokerwa wanaibuka na hoja za sukari imepanda bei. Nawashauri next time muje na issue nyingine. Kha!
 
Back
Top Bottom