Innocent kaluntu
New Member
- Jan 29, 2017
- 2
- 2
Siasa nimakadilio subiria majibu, kuwa na fikra ndefu. Always b 1,2,3 or 4 step ahead, wait for it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh!mkuu umenikata maini kwa kweli inawezekana nimeishambulia hoja yako kwa ukali mno nami sina asili ya ugomvi just got carried away na ubovu wa hoja yako !ila kwa namna ya kistaarab ulivyo react naona bora nijirudi na mimi !Enough of your insults/Matusi yako yaishie hapo.
Pointi yako NOTED. Kuwa mimi "HAZIMO"
Sina la ziada.
Nakushukuru kwa maoni yako kulingana na MTAZAMO wako. Ahsante
unajkanyaga huna issueKatika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.
Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.
Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.
Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGONISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.
Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Protokali na
Diplomasia.
Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.
Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.
Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.
ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing table/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
Unadhani RAILA anajiskiaje baada ya rafiki yake Sizonje kumtosaKatika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA

Hivii sizonje atahudhuria kuapishwa Uhuru au atatuma mwakilishi?Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA

Tusubiri kwenye kuapishwa sijui ataenda au?Ha! Ha! Ha! Leo mnamruka mkenya pekee aliyefika Chato kumpongeza Magufuli !
Hapana, ni kawaida kwa maraisi kupongezana kulinda amani
Vipi Sizonje arahudhuria kwenye kuapishwa mh Uhuru?Hueleweki. Una maana gani?
Pamoja na misaada je unapata panado ukienda mhimbili?Jamani acheni matusi kwani Chadema wamefanikiwa kitu gani kama sio upumbavu tu!!! Huyo wakili wao alitangaza duniani Tanzania ya Magufuli inyimwe misaada sasa umeona? Magufuli haendi kokote kutembeza bakuli lakini wenyewe wanaleta misaaada wamewapuuza Chadema na ombi lao, jana tumeshuhudia Bill Gates alafu balozi wa Marekani wakimwaga misaada poleni sana Chalema!!!
hivi unajua tofauti ya magufuli kama mtu binafsi ama kama rais na Tanzania kama nchi?Magufuli kawafunga Ten Nil. Mabao 10 kwa bila.
Msemo wa kisiasa:
" In Politics there is neither a permanent FRIEND nor permanent ENEMY but PERMANENT interests"/
"Katika sisa kamna RAFIKI wa KUDUMU ama ADUI wa kudumu. Bali MSALAHI ya KUDUMU".
Ni nini Kenya itapata toka Lowassa as far as politics is concerned.
Hasa baada ya ngoma ya kali Magufuli?
Utajijua mwenyeweWhat are attributes of a HUMBLE PERSON before you revert to INSULTS?
If you do not know anything Magufuli , then let me help you.
Magufuli s a DOWN to EARTH person contrarary to your short sighted perception full hatred and bitterness known only to yourself.
While mine is to comment on Magufuli 's remarkable step on congratulating his counterpart ,as for Uhuru Kenyatta's humbleness we leave it to the people to judge. I have no comments.
He is not my SUBJECT as far as my comments are concerned.
MATUSI hayasaidii.
Duh kambi ccm wanachuana na kambi ukawaKatika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.
Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.
Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.
Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGONISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.
Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Protokali na
Diplomasia.
Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.
Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.
Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.
ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing table/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo.
Ahsante kwa welevu wako.Kweli nimeamini Ile kauli ya rais Kuna baadhi ya watu ni wapu.mbavu
Wamejimaliza wenyewe.Kiukweli chadema walipaswa waangalia moja tu, uchaguzi utaendeshwaje na wampongeze aliyeshinda kihalali.
Cha ajabu wamefuta reference au chachu ambayo walipaswa kuitumia iwapo upinzani wangeshinda kenya.
Acha mzaha bhana.Basi km zake kwa nn hadi ushauri km ulivyoelezwa hapo na km taifa mm zangu nishatuma kwa nn anitumie