Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Wakuu nimesikitishwa sana na kitendo cha Rais wetu mh. Dr. Pombe kushindwa kutumia lugha iliyozoeleka ya english tunapowakaribisha viongozi wa dunia.

Hii inawanyima mabalozi mbalimbali waliohudhuria mkutano kushindwa kwenda sambamba na mzee wa mwendo kasi kuhusu anachozungumzia.

Ikumbukwe Kikwete alipiga kizungu alipomkaribisha Obama, Mkapa alipiga kizungu akipomkaribisha Clinton na Bush.

Sasa huu utaratibu wa Dr. Pombe kutumia kiswahili kwenye hotuba za kimataifa umeanza lini?

Watanzania tulikemee hili kwa nguvu zote..

Ikulu yetu ilinde misingi yake
 
Wakuu nimesikitishwa sana na kitendo cha rais wetu mh. Doct. Pombe kushindwa kutumia lugha iliyozoeleka ya english tunapowakaribisha viongozi wa dunia
Hii inawanyima mabalozi mbalimbali waliohudhuria mkutano kushindwa kwenda sambamba na mzee wa mwendo.kasi kuhusu anachozungumzia

Ikumbukwe kikwete alipiga kizungu alipomkaribisha obama
Mkapa alipiga kizungu akipomkaribisha clinton na bush

Sasa huu utaratibu wa dr. Pombe kutumia kiswahili kwenye hotuba za kimataifa umeanza lini?

Watanzania tulikemee hili kwa nguvu zote
a03b88d0ed233831bfccd326ba3f93a1.jpg

Ikulu yetu ilinde misingi yake

Kwani unatokea wapi mungwana?
 
hapo labda angwmwomba Nyani Ngabu amuandikie hotuba.
BTW nadhan ni njia ya kukuza kiswahili kwa mtazamo wangu. kuongea kiienglish haimaanish kwamba kutamfanya kuwa ndo mhe president. hii ameibuni yeye tumuache aendelee nayo.

ila kwakweli ikiwa tunataka kukipa kiswahili kipaumbele basi tungeanzia na ngazi za chini mashulen ila kwa kuanzia huko juu, si kiswahili wala kiingereza kitakachokuwa lugha yetu.
 
Wakuu nimesikitishwa sana na kitendo cha rais wetu mh. Doct. Pombe kushindwa kutumia lugha iliyozoeleka ya english tunapowakaribisha viongozi wa dunia
Hii inawanyima mabalozi mbalimbali waliohudhuria mkutano kushindwa kwenda sambamba na mzee wa mwendo.kasi kuhusu anachozungumzia

Ikumbukwe kikwete alipiga kizungu alipomkaribisha obama
Mkapa alipiga kizungu akipomkaribisha clinton na bush

Sasa huu utaratibu wa dr. Pombe kutumia kiswahili kwenye hotuba za kimataifa umeanza lini?

Watanzania tulikemee hili kwa nguvu zote
a03b88d0ed233831bfccd326ba3f93a1.jpg

Ikulu yetu ilinde misingi yake
Ya Ikulu hayahojiwi ni uchochezi
 
Back
Top Bottom