singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
The kind of president we were looking for!
Mhariri Deodatus Balile ongeza nakala za toleo hili kwani huku mikoani hayatatufikia. Pia naomba kamati ya kuratibu siku kuu ya mashujaa isimsahau huyu mwandishi. DC I pia mkatie fungu kidogo kutoka kwenye ule mfuko wako wa investigation fund.
Kwenye hotuba moja rais mugabe alitoa hotuba kali kuhusu wakenya. Baadhi ya watu walimbeza. Nasikia wanashiriki pia katika kuhujuma serengeti na ngorongoro. Swali, kulikoni.Hawa Wakenya ni hatari sana kwa ustawi wa Uchumi wa Tanzania.
Serikali iwe macho nao haswa
Saivi Jamhuri ndo gazeti standard la kuibua uozo... mwanahalisi lishakuwa biased, limekuwa silaa ya mtu binafsi kujibizana na Makonda.Gazeti pendwa la taifa, hamna unafiki, ni mambo ya kweli.
Labda ndio maana dingi katia timu kwa mkulu Jana kumkumbusha kuwa mtoto anauma PSE uwe na kiasi.The X- Prince yumo...!!? Au atafikiwa with time...!!
Excellent...!! Ni kuwakamata wote hawa...!!
Mbona walianza zamani sana, kitendo cha kuwaingiza watalii Mlima Kilimanjaro na kurudi kwao ni picha tosha katika mambo mengi wanayofanya, naomba huu ushauri wa kuzilinda mbuga zetu za hapa Tanzania zilindwe kwa nguvu zote, ikiwezekana Jeshi la Wanyamapori wasaidiane na JWTZ, ikiwezekana lakini kama haiwezekani basi.Kwenye hotuba moja rais mugabe alitoa hotuba kali kuhusu wakenya. Baadhi ya watu walimbeza. Nasikia wanashiriki pia katika kuhujuma serengeti na ngorongoro. Swali, kulikoni.
JK hawezi kumpa kwani alipopewa yeye wengine akawapa kinga kutokana na mahusiano.Duhhhh
Natamani JK ampe Magufuli Yale
Majina aliyosema anayo . Halafu akaa kaa nayo
Kimya.
Au nani mwingine mwenye Yale majina ?
Huu ndio wakati .
Wanatumwa na serikali/makampuni ndani ya nchi yao.Kwenye hotuba moja rais mugabe alitoa hotuba kali kuhusu wakenya. Baadhi ya watu walimbeza. Nasikia wanashiriki pia katika kuhujuma serengeti na ngorongoro. Swali, kulikoni.