Elections 2015 Magufuli atueleze ile M Bank iliyo ndani ya Jengo la Mapato Dar ni ya nani?

Dr.Pombe Magufuli ni Waziri wa Ujenzi na bandari haiko chini ya Wizara ya Ujenzi hivyo Dr.Pombe Magufuli hahusiki na chochote kinachoendela bandarini na hana mamlaka (bado mpaka baada ya 25/10) ya kuingilia Wizara nyingine hivyo ningekushauri utafute majibu ktk kwa Wizara husika, si ajabu fisadi Lowasa na Genge lake pia wanaweza kujua sina uhakika lkn jaribu kuwauliza!

Waigizaji wanatafuta shutuma za magufuri, wanaacha za fisadi papa
 
Kwani inakuhusu nini. Yaani Watanzania tunashindwa hata kufikiri maisha kwa sababu tu wengine wanamiliki vitu fulani. Mbona hujauliza benki zingine zipo kibao.

Hujauliza wanaomiliki hotel na makampuni.
Wakuu bado sijapata jibu ninani hasa mmiliki wa bank hii na kwa nini imeruhusiwa kuwa yenye dhamana ya kukusanya mapato ya serikali huku ikiwa ni ya binafsi.

Naona kabla hata ya kupata jibu uzi umesha unganishwa tayari huenda hata wenye majibu hawaja pata nafasi ya kutupatia.

Naliona ni jambo lenye public interest,kwasababu wananchi wangependa kujua kwanini mapato yao ya ingie mifukoni mwa watu ndipo ya ingie hazina.Bank hii hukusanya chapchap na nyaraka zake hupokelewa chapchap.

Ndiyo maana nilidhani Magufuli anaweza kuwa analijua hili kuliko Lowasa aliye ondoka serikalini 2008.Ikoshaka kuwa walio mweka magufuli ni wale wanao jikusanyia mapato ya serikali na kuweka mfukono na kisha kuacha nyaraka zitembezwe kuwa serikali imepata mapato.

Tuna elezwe kwa taarifa zisizo rasmi kuwa hiyo M maana yake ni Mkapa bank,na mkapa ndiyo tume mwona anavyo kuwa mkali kwenye kampeni akitukana vile. Kwa nini tusiamini kamweka magufuli kulinda bank ya kukusanya hela za kifisadi?
 
Dr.Pombe Magufuli ni Waziri wa Ujenzi na bandari haiko chini ya Wizara ya Ujenzi hivyo Dr.Pombe Magufuli hahusiki na chochote kinachoendela bandarini na hana mamlaka (bado mpaka baada ya 25/10) ya kuingilia Wizara nyingine hivyo ningekushauri utafute majibu ktk kwa Wizara husika, si ajabu fisadi Lowasa na Genge lake pia wanaweza kujua sina uhakika lkn jaribu kuwauliza!
Fisadi Lowasa karudi mnae huko
 
Hii benki mwenyekiti wake ni Nimrod Mkono na pia ni shareholder; lakini la msingi ni kuwa benki hii ilianzishwa kwa pesa yetu iliyoibiwa na wale wezi wa EPA wakina JEETU Patel!!! Mpaka leo hii serikali ya magamba inaogopa kumgusa Jeetu kwani atawaumbua mahakamani na ndio maana kesi zinazomhusu za EPA zimezimwa mapaka DHAIFU atoke madarakani!!
Mmh!! Dhaifu atoke madarakani?!!

Umeshapata majibu now?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ana fikiria kwa kuwa karibu na Magufuri na kung'ang'ania kuendelea kuwa mwenyekiti ndio atamcontrol Magufuri ni lazima atakuwa mpumbavu;

Kila mtu anajua kuwa Magufuri hakuwa chaguo lake kama vile yeye hakuwa chaguyo la Mkapa na ndio maana alimdhalilisha sana alipoingia madarakani na yeye vivyo hivyo atarajie kuwa uozo wake na familia yake lazima utaanikwa hadaharani baada ya uchaguzi!
Duh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom