Shime wananchi wenzangu. Rais wetu ameonesha nia ya kutuletea maaendeleo. Nionavyo mimi huu si wakati wa kukaa na kulumbana. Ni wakati wa kumuunga mkono Rais wetu John Joseph Pombe Magufuli. Tushirikiane naye kwa kuitikia wito wake wa kufanya kazi. Ni vyema tujiulize kuwa tulitaka Rais wa namna gani? Tukumbuke kwamba hapo awali Rais wa ndoto yetu alikuwa ni yule anayepinga ufisadi na mwenye upendo wa dhati kwa masikini. Tunahitaji nini tena?
Au ni kuvuruga vuruga tu?
Au ni kuvuruga vuruga tu?