Magufuli atinga Kivukoni kwa kushtukiza, akuta ofisi zipo wazi

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,543
22,050
Rais mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh ndg Dr. John Pombe Magufuli kavamia hivi punde katika ofisi za vivuko Magogoni na kukuta ofisi zote zipo wazi hazina watu zaidi ya baharia mmoja tu aliyekutwa akifanya usafi na kuhojiwa.

Kwa taarifa zaidi usikose kuangalia taarifa ya habari.

***Mwaka huu ni kazi tu ***

Rais Magufuli kaibukia feli DSM, alipanda gari ya kawaida wakakuta vuu bin vuu huyuu ghafla...
 
Rais mpendwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mh ndg Dr. John pombe magufuli kavamia hivi punde katika ofisi za vivuko magogoni na kukuta ofisi zote zipo wazi hazina watu zaidi ya baharia mmoja tu aliye kutwa akifanya usafi na kuhojiwa, kwa taarifa zaidi usikose kuangalia taarifa ya habari;
******Mwaka huu ni kazi tu ********
Weka picha
 
Weka picha
ImageUploadedByJamiiForums1456070032.350935.jpg
 
Aende na hapo jirani ocean road hospital hatakuta daktari wa zamu,yaani wanakuja kusaini tuu na kuondoka zao,wa night shift halali kabisa hospital
 
wafanyakazi wa nchi hii ni tatizo ndio wanaosababisha serikali inachukiwa.

lakini wao pia badala ya kuitetea serikali wanaungana na wananchi kuilaumu serikali ikiwa wao ndio wamesababisha serikali kuchukiwa,
jpm shughulikia hao ukiwadhibiti hao wananchi watafurahia serikali yako.
 
Leo magufuli kaibukia feli dsm alipanda gari ya kawaida wakakuta vuu bin vuu huyuu ghafla...
 
Kwa hiyo kivuko hakikiwa kinafanya kazi??
Ndo najiuliza mkuu, itashangaza kama mtu anataka eti umkute mkulima ofisini angeenda saiti kama mchuma hausongi ndo aanze kumuulizia suka yupo wapi
 
Back
Top Bottom