Magufuli atangazwe kama Rais wa awamu ya tatu

Dark Angel

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
212
220
Mesikia hili wazo toka kwa mchambuzi mmoja wa siasa alipokua akihojiwa na chombo cha habari juu ya maadhimisho ya Marehemu Ndgu Sokoine.

Yeye ameshauri kulingana na utendaji kazi wa JPM,ameona awamu kadhaa zilizopita ni chenga tu.
Hivyo ni vyema JPM atangazwe km Rais wa awamu ya 3.
 
Katika zama hizi kila mtu anawaza kwa akili yake. Tunashuhudia viwango tofauti vya akili na upumbavu vya watanzania
Sijui nini tazamio lake,yumkini ameona alichofanya JK si mali kitu,hivyo hakustahili kupewa awamu.
 
Mesikia hili wazo toka kwa mchambuzi mmoja wa siasa alipokua akihojiwa na chombo cha habari juu ya maadhimisho ya Marehemu Ndgu Sokoine.

Yeye ameshauri kulingana na utendaji kazi wa JPM,ameona awamu kadhaa zilizopita ni chenga tu.
Hivyo ni vyema JPM atangazwe km Rais wa awamu ya 3.
Umekunywa nini mpaka akili haifikiri
 
Mesikia hili wazo toka kwa mchambuzi mmoja wa siasa alipokua akihojiwa na chombo cha habari juu ya maadhimisho ya Marehemu Ndgu Sokoine.

Yeye ameshauri kulingana na utendaji kazi wa JPM,ameona awamu kadhaa zilizopita ni chenga tu.
Hivyo ni vyema JPM atangazwe km Rais wa awamu ya 3.
Basi tufanye 2016 iwe 2002.

I hate metaphors.
 
Mimi nilishauri namtambua Magufuli kama rais wa pili tanzania baadav jk og nyerere
 
Mesikia hili wazo toka kwa mchambuzi mmoja wa siasa alipokua akihojiwa na chombo cha habari juu ya maadhimisho ya Marehemu Ndgu Sokoine.

Yeye ameshauri kulingana na utendaji kazi wa JPM,ameona awamu kadhaa zilizopita ni chenga tu.
Hivyo ni vyema JPM atangazwe km Rais wa awamu ya 3.
Vizuri sana liendelee tu kuwa wazo,ubarikiwe.
 
kuna watu ni wazungumzaji wa lolote hata kama halina maana atazungumza tu: namfananisha mzungumzaji wa hayo maneno na watu wa aina hiyo.
 
Ngoja buku7 wachumia tumbo,wazee wa lumumba ambao wanapenda kula bila kunawa waje wakushambulie mleta Uzi huu...hehehe
 
Back
Top Bottom