Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

G Sam , wachache hawawez kuelewa ni jinsi gani tukio la jana litakuja kutuathiri hapo baadae. Naomba Mungu hili lisije lika-back fire kama sakata lile la Samaki wa Magufuli. Hili sakata la samak, mh alikurupuka hv hv na tmepelekwa mahakani, kesi tumeshindwa, tumeamliwa tulipe bilions of money. Our excellence needs to be very careful, hiz sifa anazopewa zisimleweshe.
Serious? I didn't know it !
 
Kwani kipindi hicho serikali ilikuwa inashinda kesi hata kama ilikuwa na haki ya kushinda,najiuliza tu.JPM kakwambia vita hii ni ya kiuchumi na vita imeanza wewe unatangaza kushindwa na kutaka kutuaminisha kwa uwoga wako. vita hii ni ngumu ila kujiweka kwenye kushindwa unatufanya akili zidumae.Ebu acha wazee waliomstari wa mbele kwenye vita hii wapambane we kama unamsaada mwingine tusaidie sio kutuogopesha.
 
Wewe Kaha-ba hebu soma umuelewe mleta mada. Amsha akili, acha kiherehere!!

Sijasoma yote ya mwanzoni yamemaliza.....

Mtanyooka tu

Msubiri mambo yaishe, na Raisi ameahidi mengi... watu wanaweweseka...mtajiju

Wangeyaandika juzi...wengi walifikiri itakuwa yale yaleeeeeee ya kale kupindisha ha ha haaaaa

Magufuli oyeeeee
 
Mfumo wa uongozi aliouweka Rais
Magufuli awamu hii ndio utakaoliingiza taaifa hili pabaya. Magu amejitahid na amefanikiwa kuweka mfumo wa watu kuwaona wote wanao-challenge mawazo yake ni wezi, wapiga deal, mafisadi, wala rushwa au wamepewa chochote kile wamkosoe. Huu utaratibu ni mbaya na naona taratibu unaanza kulitafuna taifa. Ss hv ukiongea tofaut na mawazo ya Rais au Serikali yako basi ww utaonekana ni moja ya watu hao niliowataja hapo juu. Kuna vitu vingi tu ss hv Mh. Rais anachemka lkn watu (wataalam) wanapiga kimya kwa kuogopa kuonekana hawaitakii mema nchi hii au wamepewa hela (wamehongwa). Hii ni mbaya sana kwa taifa. Ku-challenge (kuhoji) maamuz au mawazo ya Rais (au Seikali) sio usaliti kwa nchi, ni njia nzuri ya kufanikisha mambo yaende, hatuwez kufanana mawazo au mitazamo naukiona mnafanana kwny kila jambo basi ujue anguko lenu limekaribia.

Kwny taarifa ya jana kuna vitu vimepotoshwa /vimekuzwa lkn watu hawawez kuviongelea kwa kuogopa km nlvyosema hapo juu. Mkulu anaposema kwa makontena yale 277 serikali ilkuwa inapoteza mapato kati ya Bil 676 na Trilion 1.147 ya dhahabu sio sahihi. Hizi ni true value (thamani halisi) ya dhahabu iliyopo kwny makontena ambayo ikiuzwa, serikali kupitia TRA itachukua kodi/tozo/mrahaba wa 4% kwa sheria ya ss hv. Kwahiyo hiyo hela yote sio ya kwetu, sisi tuna % tu ya hela hiyo iliyotajwa. Tatizo lililopo ni kuwa kulingana na taarifa ya tume, thamani halisi ya dhahabu ni ndogo kuliko iliyotajwa hapo mwanzoni. Sasa hili tumelikuza na kuwaaminisha wanatanzia tumeibiwa kati ya Bil276 na Trilion 1.147 wakati si kweli chetu pale ni 4% ya true value (Bil 676 to Tril 1.147)
Ni km kwny biashara zingine tu za uzalishaji, utazalisha soda utauza zile soda, baada ya mauzo halisi ya soda zile kwa thamani sahihi ya soda, ile hela iliyopatikana (gross revenue) itapigwa % kadhaa kama kodi/tozo na mzalishaji atabaki na chake baada ya kodi/tozo (net revenue). Sasa jana tumeaminishwa ile gross revenue baada ya kuuza zile dhahabu ni yetu yoteee. Hili tulikosea jana na kuleta tahaaruk kubwa ya kuonuesha kuwa tunaibiwa sana. Ni kweli tunaibiwa lkn tuepuke kukuza mambo.

Haya yote aliyoongelea Maguful hayajaanza leo kuongelewa, yamesemwa muda mrefu tu. Tatizo kubwa ni la mikataba mibovu tuliyokisha kuingia, hii ndio itatupeleka kwenye matatizo. Hatuwez kunufaika kwa kumfuka Prof Mhongo, ndio ana mapungufu yake meng tu, lkn yy sio source ya matatizo ya madini tuliyonayo. Kwa hli alilolifanya mkulu, we will feel the pain in the future, wenye migodi wamewekeza hela nyng sana and they are very smart to make sure they follow the state's (world) rules. Hawawez kuona hisa zao zinaporomoka hv na wasichukue hatua. Km tunavyoona ss hv tuna suffer kwa maamuz mabaya ya Mkapa, vivyo hivyo awamu zijazo tutasuffer kwa maamuzi haya mabaya ya Magufuli
Figure hizo 4% ya hicho unachoita true value hakikuwa calculated na 676bn ilikuwa inaondoka yote. Wewe mbona mpuuzi au unahusika na huo wizi?
 
Vita ya uchumi ni ngumu kupita vita yote.. Rais magufuli

Kuna wengine walihongwa hela wakakimbilia kwenye social media na wakaitisha press conference kuwa kule kwenye mchanga hapakuwa na madini... Raisi magufuli
Majina yao tunayo
 
Eeeeeeh kiroja wewe, kama umesoma kalia huko huko....mie nimechungulia mwanzo nimesepa..wewe fata mkumbo sibadili nilichoandika... wewe hata vyeti vyako kuonyesha majaninya kwenye mtu huwezi kwa miseaki uliyopiga ha ha ha ha ha haaaaa

Mmmmmmmh hiyo sentensi ya mwisho looooo eeeeeeeeh kaa nayo huko huko....unafiki unanitafuta tangu jana ati... yale ya RC hukukoma ha ha gaaaaa

Na mkae mkijua bado saga linaendelea tusubiri, lori lina spidi na naamini hata watu wakijaribu kutaka kujua nini kitakuja next hawapati habari....kumekuchaaaaaaa

Magufuli oyeeeeee
Dada nmeuliza swali kwamba ulitaka mtoa mada atoe maoni juu ya sakata la mchanga hata kabla uchunguzi hujaisha je angetoa maoni basing on what???

Ukinijibu hili utanisaidia sana
 
Mugabe alifanikiwa kuwanyang'anya mashamba wazungu bila ya kufuata sheria. Alifanikiwa kuwatimua wazungu karibu wote. Ambacho hakuweza kufanikiwa ni kuwahakikishia ajira watu wake, kipato cha kuwawezesha watu wake waishi kwa uhakika. Leo walimu wa sekondari, wahasibu, manesi Wazimbabwe ni wahudumu wa hotel South Afrika maana ni aheri kuwa mhudumu wa bar SA kuliko kuwa lecturer Zimambwe.

Siyo haki kuibiwa, na lazima tuzuie kuibiwa lakini tunahitaji kuwa werevu. Tuwe na uhakika na tunachoibiwa na namna tunavyoibiwa ili tuweze kuwa na njia sahihi za kuzuia kuibiwa.
 
Ngozi nyeusi ni laana, mmepata kiongozi wa kuwakoa mnaibiwa mnabaki na mashida wenzenu wanaendelea bado mnapiga kelele tu.. hii ni laana kwa ngozi nyeusi si bure.
 
Mfumo wa uongozi aliouweka Rais
Magufuli awamu hii ndio utakaoliingiza taaifa hili pabaya. Magu amejitahid na amefanikiwa kuweka mfumo wa watu kuwaona wote wanao-challenge mawazo yake ni wezi, wapiga deal, mafisadi, wala rushwa au wamepewa chochote kile wamkosoe. Huu utaratibu ni mbaya na naona taratibu unaanza kulitafuna taifa. Ss hv ukiongea tofaut na mawazo ya Rais au Serikali yako basi ww utaonekana ni moja ya watu hao niliowataja hapo juu. Kuna vitu vingi tu ss hv Mh. Rais anachemka lkn watu (wataalam) wanapiga kimya kwa kuogopa kuonekana hawaitakii mema nchi hii au wamepewa hela (wamehongwa). Hii ni mbaya sana kwa taifa. Ku-challenge (kuhoji) maamuz au mawazo ya Rais (au Seikali) sio usaliti kwa nchi, ni njia nzuri ya kufanikisha mambo yaende, hatuwez kufanana mawazo au mitazamo naukiona mnafanana kwny kila jambo basi ujue anguko lenu limekaribia.

Kwny taarifa ya jana kuna vitu vimepotoshwa /vimekuzwa lkn watu hawawez kuviongelea kwa kuogopa km nlvyosema hapo juu. Mkulu anaposema kwa makontena yale 277 serikali ilkuwa inapoteza mapato kati ya Bil 676 na Trilion 1.147 ya dhahabu sio sahihi. Hizi ni true value (thamani halisi) ya dhahabu iliyopo kwny makontena ambayo ikiuzwa, serikali kupitia TRA itachukua kodi/tozo/mrahaba wa 4% kwa sheria ya ss hv. Kwahiyo hiyo hela yote sio ya kwetu, sisi tuna % tu ya hela hiyo iliyotajwa. Tatizo lililopo ni kuwa kulingana na taarifa ya tume, thamani halisi ya dhahabu ni ndogo kuliko iliyotajwa hapo mwanzoni. Sasa hili tumelikuza na kuwaaminisha wanatanzia tumeibiwa kati ya Bil276 na Trilion 1.147 wakati si kweli chetu pale ni 4% ya true value (Bil 676 to Tril 1.147)
Ni km kwny biashara zingine tu za uzalishaji, utazalisha soda utauza zile soda, baada ya mauzo halisi ya soda zile kwa thamani sahihi ya soda, ile hela iliyopatikana (gross revenue) itapigwa % kadhaa kama kodi/tozo na mzalishaji atabaki na chake baada ya kodi/tozo (net revenue). Sasa jana tumeaminishwa ile gross revenue baada ya kuuza zile dhahabu ni yetu yoteee. Hili tulikosea jana na kuleta tahaaruk kubwa ya kuonuesha kuwa tunaibiwa sana. Ni kweli tunaibiwa lkn tuepuke kukuza mambo.

Haya yote aliyoongelea Maguful hayajaanza leo kuongelewa, yamesemwa muda mrefu tu. Tatizo kubwa ni la mikataba mibovu tuliyokisha kuingia, hii ndio itatupeleka kwenye matatizo. Hatuwez kunufaika kwa kumfuka Prof Mhongo, ndio ana mapungufu yake meng tu, lkn yy sio source ya matatizo ya madini tuliyonayo. Kwa hli alilolifanya mkulu, we will feel the pain in the future, wenye migodi wamewekeza hela nyng sana and they are very smart to make sure they follow the state's (world) rules. Hawawez kuona hisa zao zinaporomoka hv na wasichukue hatua. Km tunavyoona ss hv tuna suffer kwa maamuz mabaya ya Mkapa, vivyo hivyo awamu zijazo tutasuffer kwa maamuzi haya mabaya ya Magufuli
HAUNA SERA WEWE
 
Wewe ndiye utaligharimu taifa kwa woga wako wa kipuuzi
So unataka tusimuunge mkono magufuli au!!? watu wa aina yako ndo mnaturudisha nyuma.
Mbona hukuyaandika haya kabla ya yeye kupokea ripoti jana!?

Mtanyooka tu, hii ni awamu ya tano.

Hapa kazi tu

Hamuwezi kumtisha na ngonjera zenu mnazojaza kwa maandishi... lori lileeeeeeee kwa spidi kali
Wewe ndiye utaligharimu taifa kwa woga wako wa kipuuzi
Ukiwa muoga usiogofye na wenzako
Lakin pamoja na ushabiki huu tutumie pia na tafakari ili tushabikie vyema kile tunacho kijua vyema.
 
MKWEPA KODI , sina uhusiano wwt na ACACIA, wala hata hawanijui.
Hili la kuona mtu mwingine mwenye mawazo tofauti na mawazo ya watu wengine katumwa, kahongwa, msaliti, mwiz, fisadi, litatupeleka pabaya. Lazima tutofautiane katika hoja ili tuweze kupata mawazo yaliyo sahihi zaidi. Katika hili, Mh amekosea kudeal nalo.
Lazima umetumwa wewe...maamuzi haya yatatugharimu nini zaidi ya uporaji uliofanyika zaidi ya miaka kumi iliyopita?wtz kuweni waxalendo kidogo hata kama mnasumbuliwA na njaa
 
So unataka tusimuunge mkono magufuli au!!? watu wa aina yako ndo mnaturudisha nyuma.
Walio tuchoma kisu mbavuni kwa nguvu na kutupa maumivu makali leo wanakuja kuangalia jinsi walivyotuchoma!!!! Na kusema kweli kisu kiliingia sasa hatukitoi tunaangalia athari zake ...alafu wachomwaji tunashangilia!!!!
 
aibu ya mama yako aliyekuzaa, nchi inakuwa na watu waoga kiasi hihi, tunasubiri magufuli aruhusu tukapigane nao kule buzwagi.
Umeshindwa kupigana na mkeo kwenye sita kwa sita leo utaweza kupigana na msungu mwenye silaha za kila aina!!
 
Kwa mtazamo wako uliyaka atumie njia ipi kukabiliana na hili?...or furaha yako kuana mali zetu zikipotea kwa kuchukuliwa na hawa wajanja? Haijalishi tunaibiwa kwa kiwango gan..kiwe kidogo ama kikubwa se have to stop them soon!
Akapitie mikataba mkuu ambayo watungulizi wake wameiweka na hawa wapigaji..wenye mkataba wa kuchimba madini miaka 99!!!
 
Back
Top Bottom