Magufuli ataheshimika zaidi akiomba msamaha

Hakuna kuomba msamaha
jambo dogo tu vikao na posho kibao ili kujadili mtu aombe msamaha

ametueleza ukweli sasa ukweli unatuuma,tumezoea kudanywa kwa maneno matamu,tukipewa maneno makavu kelekele nyingiiiiiiiiiiii

hakuna kuomba radhi,
 
Sioni sababu ya MH MAGUFULI haja ya kuomba msamaha na kuendekeza mambo ambayo hayana maana. ukweli ni kwamba kama
kuna mtu hawezi kulipa nauli ya TSHS 200/= maana yake ni kwamba analazimisha kuishi DAR,DAR IS NOT HIS ENERGY LEVEL he/she MUST GO WHERE HE/SHE BELONGS.Wanasiasa wanaiharibu nchi hii.wakazi wa dar siyo special kuliko wengine wanako lipa zaidi ya shs 500/ kuvuka kutoka upande mmoja kwenda upande wa pili kwa kivuko.NASISITIZA WABUNGE WA DAR WANAPENDA
CHEAP POPULARITY HAWAFAI HATA KIDOGO.MAGUFULI DO NOT APOLOGIZE YOU ARE QUITE OK.AND IN FACT SURVIVAL IS FOR THE FITTEST,IF LIVING IN DAR IS EXPENSIVE TRY MTWARA, LINDI OR MIKESE.

Halafu hawa wakazi wa Dar wanatumia sana vocha za simu hata 2000/= kwa siku tena kwa mambo ambayo ni liability..lakn inapokua lakuongeza 100/= wanalalamika balaa.Huyu Magufuli nae ni binadamu.. walipokuwa wanamzomea walitegemea achekelee?
Sioni sababu ya kuomba radhi..na wala heshima yake haijashuka kwa hili labda mengine..
 
tena umekumbusha jambo la msingi, kuhusiana na wana kigamboni kumzomea, hapo tayari ni nguma patulo (droo). Nao wameshalipiza kisasi sasa hawa watetezi wao hili la kuzomea hawakuliona? Mbona hatujasiki hiyo ccm dar ikilitolea tamko? Au kuzomea si dharau?
Ushauri wangu kwa Magufuli ni huu;
endelea na kazi nchi haianzii na kuishia Kigamboni tu, wasidhani ukubwa wa nchi unashia pale pua zao zinapoishia au viishiapo vivuli vya viwili wili vyao vitokanavyo na jua la jioni. Angalia jigrafia mahali walipo, utagundua uwa mipasho ni utamaduni kwao.
Maadam nauli mpya wanalipa tena kwa wingi, achana nao wahangaike na hilo fupa.
 
Mimi nasema tena na tena, hakuna haja ya serikali kuendesha hicho kivuko!

PRIVATISATION; FULL STOP!

Tuone jeuri yao na hao wabunge wao!
watanyooka wenyewe
 
tena umekumbusha jambo la msingi, kuhusiana na wana kigamboni kumzomea, hapo tayari ni nguma patulo (droo). Nao wameshalipiza kisasi sasa hawa watetezi wao hili la kuzomea hawakuliona? Mbona hatujasiki hiyo ccm dar ikilitolea tamko? Au kuzomea si dharau?
Ushauri wangu kwa Magufuli ni huu;
endelea na kazi nchi haianzii na kuishia Kigamboni tu, wasidhani ukubwa wa nchi unashia pale pua zao zinapoishia au viishiapo vivuli vya viwili wili vyao vitokanavyo na jua la jioni. Angalia jigrafia mahali walipo, utagundua uwa mipasho ni utamaduni kwao.
Maadam nauli mpya wanalipa tena kwa wingi, achana nao wahangaike na hilo fupa.

na wajitie mkupiga mbizi wakutane na meli za mizigo jeuri yao yote itaisha.
Jamani, Tanzania sio Dar es Salaam peke yake
 
kwa nini msiwambie waliomzomea waziri kwenye mkutano huo ndiyo wamuombe msamaha kwanza Magufuri: Maana hiyo kauri ndiyo iliyo sababisha hayo matamshi ya kupiga mbizi:
 
Alivyo na kichwa kama cha Kambare hana hata mwelekeo wa kuomba msamaha!
Mh!
MAGUFULI.jpg
 
Kati ya mawaziri wote ktika serikali ya dr kikwete magufuli anaonekana kuaminika zaidi. Yeye pia anajua hilo. Hivi majuzi alitetereka kidogo na kutoa kauli ya kejeli. Ingawa kupanda kwa nauli kigamboni ni jambo ambalo halikwepeki, haikumpasa magufuli awaambie wananchi wapige mbizi au warudi vijijini kama hawamudu nauli ya shs 200. Walio wengi kigamboni ndiko kukliko vijij vyao sasa warudi wapi? Aombe tu radhi kwani atapungukiwa na nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom