Magufuli asifiwa kwa kupambana na rushwa

Anapambana vipi na ufisadi ikiwa wezi wa escrow, ligumi, EPA, Richmond na matakataka mengine bado wanakula bata uraiani?
 
Kwa mujibu wa budget tukufu ya serikali. Lengo in Tanzania kuwa Economical Power House ya Africa ifikapo 2025.
Kama hutaki meza sindano
 
Mh.John Pombe Magufuli Raisi wa Tanzania awa gumzo afrika kwa kupambana na vitendo vya rushwa kwa vitendo wala si maneno...chanzo ITV

Rushwa ya aina gani hiyo anayopambana nayo??
Hivi Chato imetengewa shs ngapi vile za bajeti kwa ajili ya uwanja wa ndege.
Akili za kiccm ni jipu hasa
 
Hahahahaha,mabadiriko.......Lowasa? Hebu tamka haya maneno kama unanguvu za kuyatamka tena mwaka huu mafisadi mtanyooka tu.
Mabadirikoooo Lowasaaaa, Lowasaaaa mabadirikoooo.
Hili ukoo wote wa majipu mnalijua na mnamwogopa Lowasa zaidi ya mnavyomwogopa mungu wenu (ibilisi)
 
Aisee!! Hakika Rais JPM ni wa kimataifa. Huyu si wa matopeni, mchangani au machungani. Kongole JPM kwa kurudisha heshima ya ccm na Tz.
 
Vipi kupambana na mauwaji ya raia huko mwanza , dar na tanga watu wanachinjwa hawajampongeza?
 
Mimi ni mgeni......hivi, kupambana na rushwa, mnakuwa kwenye ulingo kama alivyokuwa Al-maruhum Mohamed ALI?
Sijahudhuria pambano hata moja. Au ni one man game?
 
Rushwa ya aina gani hiyo anayopambana nayo??
Hivi Chato imetengewa shs ngapi vile za bajeti kwa ajili ya uwanja wa ndege.
Akili za kiccm ni jipu hasa
kwani kutenga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege ni rushwa??
 
Back
Top Bottom