Hawa jamaa ni wajumbe wa baraza la wawakilishi? Ninavyoelew mimi wawakilishi asilimia zaidi ya 90 ni wa chama tawala na kwa maana hiyo hili jambo kwa wao kulifanya ni kama kuvunja mwiko wa chama chao
Hawa ni Wabunge wa CUF kutoka Zanzibar ambao imefikia hatua mpaka cha kuvaa wanapangiwa na Mbowe.
Siku hii ya kufunga Bunge waliamriwa wote wavae Nguo nyeusi na safari hii walipata ahueni kidogo badala ya kuamriwa kujaza Makaratasi Mdomoni wakaamriwa wanyanyue Makaratasi ya Uchochezi kwa Waandishi wa Habari.
Mbatia akanukuliwa akimtaka Dr.Magufuli apeleke Askari Zanzibar kunusuru maisha ya Wazanzibar wakati huo huo ni wao huwa wanahoji vikipelekwa vikosi vya Askari kusimamia Usalama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.