Magufuli arejesha Ikulu kuwa mahala PATAKATIFU

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12592399_1028408050556986_6135784011799817681_n.jpg


Mwaka mmoja uliopita ungeweza kuamini kuwa Mtanzania aliyetwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani hatoitwa Ikulu na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kupongezwa?

Jibu la swali hilo ni hapana....
 
Kwani palikuwaje? Matunguri kila kona,kama pango la kupiga ramli? Au ilikuwa jumba la madili,kuhujumu raslimali zetu badala ya kuzilinda?
 
Hii midudu hsijui kuwa Ikulu ni state house? So kwahiyo kwa vile magufuli hakaribishi watu waliotwaa tuzo na kuliinguzia taifa heshma ndo kupafanya ikulu kuwa parakatifu! Ni muendelezo uleule wa kampeni za kumchafua jk
 
Kuna watu watazikumbuka selfie za Ikulu, itawabidi wazitunze zile zote walizowahi kupiga na marais wastaafu. JPM hauzi sura yeye ni kazi tu.
 
Mwaka mmoja uliopita ungeweza kuamini kuwa Mtanzania aliyetwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani hatoitwa Ikulu na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kupongezwa?
Jibu la swali hilo ni hapana....

Chanzo: NIPASHE
 

Attachments

  • IMG_20160124_080244.jpg
    IMG_20160124_080244.jpg
    224.7 KB · Views: 32
  • IMG_20160124_090043.jpg
    IMG_20160124_090043.jpg
    100.6 KB · Views: 30
Kwahiyo mtanzania aliyeiletea sifa nchi kama samata wasahau kupongezwa ikulu na raisi ili ikulu pawe patakatifu, watu wenye najdi kama akina mbwana samata wasiende kuinajsi! This os nonesense
 
1.Ni chama gani kilichoifanya Ikulu kuwa pango la walanguzi? 2.Ikulu inakuwaje mahali patakatifu wakati JPM anawakaribisha walanguzi waliopageuza Ikulu pango la Walanguzi (Vasco na Lodilofa) kwa mbwembwe zote mbele ya media?
 
Magufuli usiwakaribishe watu Ikulu kama hakuna sababu ya mdingi. Rudidha heshima ya Ikulu. Achana na akina Lulu, sepetu na diamond and the like
 
Back
Top Bottom