Magufuli apata wakati mgumu kwa wafuasi wa Lowassa mpele ya Macho ya wangalizi wa EU

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482

EU-election-monitors.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli vijana wamechoshwa na ccm utawala wa nusu karne na ushei 54 years not joking, hii yakumkataa Makufuli hadharani mbele ya Wangalizi wa kimataifa EU na wengine wanao hudhuria kwenye mikutano nikipimo tocha kua vijana wanataka changing.

Ingawaje Makata wanasema hii ni mipango ya Chadema kutuma wafuasi wake .
 
Watu ka akina mwanakijiji hawajazora haya. Hii ni damu mpya isiyoogopa mtu. Wao walizoea kuwasujudia watawala wa ccm na familia zao. Ndo maana wametaharuki
 
Hao ni wananchi ambao hawaitaki CCM na wala siyo wafusi wa Lowassa. muwe mnaripoti vizuri.
 
CCM hawana jipya, ni porojo zilezile miaka nenda rudi ndio maana wananchi hawawataki tena.
 
Hujielewi tu. Waangalizi wamepewa maadili ya uchaguzi. Ni marufuku wafuasi kuingilia mikutano ya chama kingine so conclution in kwamba ukawa hawana displine. Hawana uvumilivu wa kisiasa. Mbaya zaidi wanapewa pesa ili wafanye fujo. Kule same mashariki walikiri kupewa pesa baada ya polisi kuwadhibiti.
 
waangalizi hao are impartial and neutral. Kwa kutoelewa UKAWA wanadhani kuwa wanawafrahisa hao observes. UKWELI ni kuwa observers wanawashangaa UKAWA kwa kampeni za fujo
 
Halafu hii video ni ya Mbeya wakati ambapo European Union observers walikuwa hawajaanza kuangalia uchaguzi. hii ni sawa na yule aliyeweka picha za guinea akidai ni za arusha.
 
Na pia hiyo picha ya hao waangalizi wa EU haikupigwa TZ. Uongo mwingine ni wa kitoto sana.
 
Hakuna kazi yeyote itakayofanywa na CCM. Propanda hizi zimedumu miaka zaidi ya 50 na watanzania bado sana tu wanalia. Kama unategemea mabadiliko yaletwe na CCM utangoja sana. Eti hapa kazi tu ni barabara ipi ya maana aliyojenga Magufuli? Tuache ushabiki wa kijinga. Tunalia huku tukishabikia vitu ambavyo viko wazi kabisa kwamba havitakaa vifanyike. CCM ni ile ile. Endeleeni kushabia, ila haitachukua muda kabla hamjaleta kilio chenu hapa. Ona Kombani amekufa. Wanamweka nani badala yake? Msigwa alipokufa ni nani aliwekwa badala yake? Ni nani mbunge wa Chalinze? Escrow na mambo yake mmeshasahau kisha tu fulana na kanga za njano. Hakuna kazi hapa. CCM itaendelea kuwahadaa watanzania hadi tupate akili na tuache kushabikia ujinga.
 
Huyu Magufuli anajifanya kama ana uwezo wa kuibadilisha CCM. Hataweza kubadilisha kitu. Ifike wakati tupate akili japo kidogo. Eti umati wa watu wote hao wamenunuliwa kumzomea. Kweli? Ni watanzania wangapi wanafia hapo Mhimbili bila hata panadol! Kwa nini? Inakuwaje wanapokufa kina Kombani hufia India? Ni watoto wangapi wanasoma shule hawana kitabu, dawati, mwalimu, chaki, library, penseli, nk. Hivi mnafikiri ni kwa nini? Tembo walikuwepo Tanzania tangu kuumbwa kwa dunia. Wamevunwa chapuchapu. Miaka mitano asilimia karibia 70 imeshayeyuka. Ni nani amechukuliwa hatua hata kuulizwa swali hata kama dunia yote inapiga kelele? Mnafikiri ni kwa nini? Viongozi wa CCM wameongozana juzi juzi kugawana kodi ya watanzania kwa marambo. Kelele zikapigwa weee! Leo tunaambiwa tusahau tu eti CCM inabadilishwa na Magufuli! Watanzania wakizomea mnakuja na story. Kweli? Wamama wanakufa wakijifungua na kupoteza watoto kwa mamia. Bado hadith hizi haziishi. Viongozi wanakimbizana kuzunguka dunia nzima eti wanaaga. Kweli? Unaweza kutumia kodi ya watu ambao hawana hata panadol ya kutuliza maumivu ya kansa kujitembeza kila upande kuaga. Unamwaga nani? Wao wanapomaliza madaraka yao wanakuja kwako kuaga? Inafika mahali hawa wadanganyifu wazomewe. Tena wazomewe sana kwani wameiachia nchi kuwa shamba la bibi huku wakisahau hata kuwapatia wananchi angalao panadol kwenye hospitali za umma.Sikatai upinzani wana mapungufu yao. Acha tuangalie upande mwingine. Labda tutaweza kusimamisha biashara haramu kwenye mbuga zetu na kuserve hao wanyama wachache waliobaki. Labda watahakikisha angalao wazee, wamama, na watoto wana hata kidonge cha kutuliza maumivu. Lada elimu yetu itarudi mahali pake. Ladba kilimo ambacho ni uti wa mgongo kitapatiwa kipaumbele. Labda heshima ya Tanzania ambayo imepotea kabisa itarudi. Labda tutachagua viongozi na sio kuridhishana toka kwa wazazi kwendaa kwa watoto hata kama ni wauza madawa ya kulevya. Ladba gasi na mafuta yetu yatafanyiwa mikataba ya maana na sio deals za wachina na marafiki wa viongozi. Tumechoka sana na CCM na kilichobaki ni kuzomea maana ahadi ni zilezile na hakutakuwa na mabadiliko yeyoye yale. Mzee ana miaka 54 eti unatoka bila haya mimi mwanangu nitambadili kabisa atakuwa sijui mwema na mtakuwa na viwanda na sijui nini. Kweli? Viwanda? Makampuni feck yanawaibia watanzania, elimu, barabara hakuna, kina kitu chini ya viwango. Tuseme hapana tena hapana kwa nguvu zote.
 
Kama watz tungukuwa na ufahamu angalau 10% ya haya umeindika nafikiri tusingekuwa hapa tulipo sasa,natamani ujumbe huu uwafikie watu wote ila sina uwezo huo,eti mtu anatumia ma billion ta pesa kuaga duniani kote utafikiri nikufa anakufa,wakati hao anao waaga wakimaliza muda wao huwa hawaji kumuaga huo sini ujinga napumbavu,jamani tubadilikeni sasa tumedanganywa vyakutosha
 
Hakuna kazi yeyote itakayofanywa na CCM. Propanda hizi zimedumu miaka zaidi ya 50 na watanzania bado sana tu wanalia. Kama unategemea mabadiliko yaletwe na CCM utangoja sana. Eti hapa kazi tu ni barabara ipi ya maana aliyojenga Magufuli? Tuache ushabiki wa kijinga. Tunalia huku tukishabikia vitu ambavyo viko wazi kabisa kwamba havitakaa vifanyike. CCM ni ile ile. Endeleeni kushabia, ila haitachukua muda kabla hamjaleta kilio chenu hapa. Ona Kombani amekufa. Wanamweka nani badala yake? Msigwa alipokufa ni nani aliwekwa badala yake? Ni nani mbunge wa Chalinze? Escrow na mambo yake mmeshasahau kisha tu fulana na kanga za njano. Hakuna kazi hapa. CCM itaendelea kuwahadaa watanzania hadi tupate akili na tuache kushabikia ujinga.

Kwani mwenzetu umezaliwa lini. Maana hata kipovufu ataona unatudanganya. Saivi unaenjoy 3g imekuja kwa muujiza? Hiyo ni matokeo ya kazi iliyofanywa ya kujenga mkongo wa Taifa. Hilo dogo tu hujaliona? Zamani mtu kuwa na pikipiki alikuwa anaonekana ni tajiri. Hivi sasa hata mkata majani ana pikipiki. Tafsiri yake ni nini? Hiyo nakuachia wewe kwani una assume wote ni vipofu. Zamani mtu akiwa na nyumba iliyopigwa bati alionekana ni mtu mwenye uwezo. Hivi sasa hakuna wa kushangaa. Vijijini wanaanza kuacha kujenga kwa majani. Hivi ni vitu vidogo tu ambavyo vinainekana hata jwa asieenda shule. Mwenzetu huoni au una hoja gani utufafanulie?
 
Sijui wasiotaka mabadiliko wamelogwa na nani unafiki umewajaaa wananiudhi km nn
 
Back
Top Bottom