Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,259
"The fox must be chased away first, then the hen might be warned against wondering in the bush"
Hii ingemsaidia sana kuhusu madhira yaliyowapata watanzania wenzetu huko Msumbiji, watuhumiwa na waliohukumiwa kunyongwa kwa makosa ya madawa ya kulevya huko china na kwingineko
Kama baba unamwokoa kwanza mtoto kutoka katoka hatari kisha unaweza kumwonya na kumlaumu kwa uzembe wake