Magufuli ang'aka tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka

Sio kweli, watanzania hatumuhitaji mtu ambaye hawezi kusimamia kauri yake, mtu mroho anayeweza kuuza raslimali(nyumba za serilikali) kwa manufaa yake!

Mkapa asilaumiwe kwa kuridhia nyumba za serikali wauziwe wafanya kazi wastaafu waliolitumilia Taifa kwa uadilifu lakini muda wao wa kustaafu unapowadia hawana nyumba zao binafsi za kuishi!! Huo ndio ulikuwa uamuzi wa baraza la mawaziri, lakini wajanja serikalini wkatafsiri kuwa ilikuwa ruksa kwa nyumba za serikali wauziwe senior civil servants wote wakiwemo wana siasa nyumba za serikali hata pale wahusika walikuwa na majumba mengi ya kupamgisha. Na kinara wa utekelezaji wa kifisadi wa uamuzi wa baraza la mawaziri was no one other than John Pombe Magufuri na mtu wa kwanza kuuziwa nyumba akawa Marten Lumbanga by then chief Secretary!! Huyo ndio Magufuri wenu mnae mpigia chepuo awe Rais wakati hana uchungu na rasilimali za nchi.
 
TAYARI CCM WAMESHAKOSA MTU ZAIDI YA 2 WA KWENDA KUFANYA KAMPENI ARUSHA KM RUFAA YA LEMA ITABOUNCE.
-Pinda +Magufuli+ wengine.
 
Back
Top Bottom