Magufuli anaziba mirija ya waliomtangulia ili atengeneze ya kwake.

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
By the time watanzania mnashtuka Magufuli atakua keshatengeneza empire kubwa sana zaidi ya mkapa na kikwete. Ujanja anaoufanya ni kujifichia kwenye kichaka kinachoitwa kupambana na mafisadi.

Kama huamini jiulize hili swali; Kwanini alisema ni wapi maraisi waliopita walisaini mikataba ili wawajibishwe.

Kwahiyo anajiwekea kinga kwamba, kwakua hatosaini popote akimaliza hatowajibishwa Kwa chochote! Je huyu Ni mtu mwenye nia njema?

Sitaki kuandika mengi nikuchoshe, jiulize hayo Wewe unayeshabikia kivuli.
 
kweli mkuu, kuna mtu alijulikana kama mzee wa "ukweli na uwazi" lakini hatujakaa sawa mara - vruuuum! - ANBEM Limited hiyo ishatinga timu Magogoni!
 
Back
Top Bottom