Magufuli anaweza kuwa kiongozi wa kwanza Afrika kuwashangaza watu 2020

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..
 
dictatorial regime lazima ishangaze watu kama Idd Amin alivyoshangaza watu kwa kuwaua- Askofu janan Luwum wa Anglican church Uganda, kuwapoteza, kufuta bunge, kugawa pesa barabarani, etc etc!
 
kwa hili tanuru analolipitia sasa, hii haitakuwa ajabu.

bora lawama kuliko fedheha!
 
Kashaona mbele kuna giza tehe tehe
Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..
 
Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..
Ataacha Watanzania kwenye midomo ya mafisi,kwa hiyo hatakuwa amewatendea haki.Watanzania wameonewa na kunyanyaswa sana,so he is there only hope.Anapaswa kwa hiyo kulijua hilo na kuweka pembeni his personal desires.
 
Magufuli ni Rais Mwenye kupenda nchi yake

Hawezi kuiacha nchi njia panda ya kuelekea Nchi iliyoendelea awaachie wahuni wa kuirejesha enzi zile za unanijua Mie nani
wanywaji tulipata tabu sana pale Calabash na Catalunya kila unaemgusa "unanijua mm nani " asaiv wote kimya tumehamia Juliana pub kule wote wana heshima
 
Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..
Masikini Musiba !! atakimbilia wapi sasa ?
 
Dikteta na nduli akimbie madaraka!? HAIWEZEKANI.

Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..
 
Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..
Ataozea jera fastaaa.....na hili analiogopa sana.
 
Write your reply...Mi naan ni CCM ndo ileile viongozi ni walewale ....kuanzia usalama wa taifa mpaka viongozi wakuu wa CCM ...Magufuli ni speaker tu uzandiki ulaghai...ufisadi ...ukatili dhidi ya raia havitakoma kama hazijaondoka taasisi mbili hizi "usalama wa taifa na CCM" naamini 2020 Magu atagombea hata kwa kushikiwa mtutu
 
Tofauti na matarajio ya wengi na utamaduni wa kisiasa msishangae akaamua kutogombea tena mwaka 2020 hata kama nafasi anayo.

Naamini hivi basing on the fact that ni Raisi anayefanya maamuzi magumu na mapya masikioni mwa watu.

Lakini pia aliahidi katika moja ya hotuba zake kuwa hataongeza muda hata wa "dakika 10" kipindi chake kitakapoisha.
Ikumbukwe kipindi cha Uraisi Kikatiba na Ki CCM ni miaka mitano.

Stay tuned..

Hata mm naliwaza hili, alishasema uraisi n kazi ngumu, hawa wanaojifanya ndo wandewa wa ccm anaweza waachia na amini mm akiondoka yeye hakuna CcM tena.
 
Kushangaza ni kuipindua ccm.

Back
Top Bottom