Magufuli anatumbua vipele, majipu ni haya

Mmmmmh wewe ndiyo mgombea wa UVCCM 2017?, ndiyo maana CCM wote hamjitambui, ngoja waje CCM wenzako wakusifie kwa kumtaja Lowassa
 
Hapa naona kama kuna majungu na wivu tu,
Wenzako wanaoleta taarifa za kitumbuzi huwa wana page hata tatu.
wewe unakuja na vichwa vya habari, hizi thread ni baada ya kufungiwa pooltable mnakuwa mna hasira na kila mtu maarufu. Leta facts.
 
uko vizuri

moja ya majipu ni fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa vyote ikiwamo CCM yenyewe

kwa nini wanachama wao hawachangii??
 
Hawa wa NSSF, TRA sijui Bandarini wote hao ni vipele tu!

Anko Magu hebu tumbua majipu kamili kama Lowassa (Richmond)
Chenge (Epa na Rada)
Ridhiwani na babake
Mbowe (ruzuku)
Sumaye(ranchi)

Etc..

Hivyo "vipele" ni muhimu vitumbiliwe kwanza ili kuweka "mazingira sawia" ya kuwafikia "majipu kamili"! Mazingira ya kupata vielelezo muhimu, mazingira ya kuibua mitandao mbali mbali ya washirika, mazingira ya kuandaa jamii kisaikolojia, mazingira ya kufisha "nguvu ya chama", mazingira ya kulegeza dhana ya "kulipa visasi", nk. Kwa hali ya uozo ulivyo mkubwa ukianza kutifiana na "papa/nyangumi" utawapoteza "kambale" wengi sana muhimu! Mwache aanze na hawa "kambale" wengi kwanza kwani "papa/nyangumi" ni wachache na wanajulikana, hivyo hawawezi "chomoa"!!! Go Magufuli goooooo!!!
 
Hawa wa NSSF, TRA sijui Bandarini wote hao ni vipele tu!

Anko Magu hebu tumbua majipu kamili kama Lowassa (Richmond)
Chenge (Epa na Rada)
Ridhiwani na babake
Mbowe (ruzuku)
Sumaye(ranchi)

Etc..
Babake na Rizmoja unaanzia wapi kumtumbua kwa katiba yetu?
 
Hawa wa NSSF, TRA sijui Bandarini wote hao ni vipele tu!

Anko Magu hebu tumbua majipu kamili kama Lowassa (Richmond)
Chenge (Epa na Rada)
Ridhiwani na babake
Mbowe (ruzuku)
Sumaye(ranchi)

Etc..
hapo hapawezekani kwa maana kunawahusu viongozi wa ccm, hapo ni sawasawa na yule aliyepeleka zuio feki kwenye uchaguzi wa Meya dar
 
Back
Top Bottom