Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
- Thread starter
- #21
Mkuu Mkirindi, mie nilikuwa mtu wa kwanza labda kusema Tanzania ilifikia mahali pabaya sana na ilihitaji kiongozi mkali.Ndugu synthesizee,
Asante sana kwa mfano mzuri, kwa wale waliofika Singapore, watajua unalosema.
Kubadilisha mind set ya watanzania wengi ambao hawana sense ya responsibility na Nationalistic, tunahitaji kiongozi mkali
Lakini nitakuwa wa kwanza pia kusema ukali wa Raisi Magufuli kwa sehemu kubwa unaelekezwa sehemu zisizostahili, kwa hiyo unakuwa haufai katika sehemu nyingi.
Nyerere alikuwa mkali sana, rushwa, ufisadi, uzembe nk. Lakini bado alikuwa ni dear leader. Sasa ukali wa Magufuli kwa kina Tundu Lisu, Ben Saanane, unasaidia nini?
Afanye ukali na mawaziri, ufisadi, uzembe, utawala wa sheria nk. Sio kufanya ukali kwa yeye kuwa kinara wa kuvunja katiba na kuja na majibu yeboyebo anapokumbushwa.