assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Magufuli anasema anamuogopa mungu na akisema yanatoka moyoni naomba kumkumbusha haya kama amesahau.
1. nitawakamata mafisadi,na wakwepa kodi. Hembu tujiulize Sakata la escrow, epa,deep green,Richmond,mabehewa ya mabovu ya treni mh mbona hujaunda tume mpya kureveiw yaliotokea? hivi mtuhumiwa wa escrow aweza kupewa nafasi yoyotte tena baada ya trust yake kuondoka, kurudisha mawaziri mizigo. naona kunakitu kamati kuu ccm si bure?, uchaguzi zanzibar mh umeshindwa kusimamia haki ipatikane kama unavodai unaipenda haki, naiona ccm ikitoa msimamo mzito na mh hujajitenga nao. mh nakukumbusha kauli yako msemakweli ni mpenzi wa mungu.
pili hivi unawapaje wakwepa kodi mda wa kulipa bila kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi, this is unfair.
2.Nitaunda serikali ndogo kubana matumizi. mh hii ameisemea vizuri my Membe, hivi mh unapoenda kusali unakumbuka kuwa ahadi ni deni na iposiku utaulizwa. kimsingi serikali haijapungua kigarama kabisa
3. kwanini mpaka sasa hujaunda tume kuchunguza mwenendo wa raisi mstaafu kwa kutumia ushahidi wa magazeti ya jamhuri juu ya tuhuma nzito anazotuhumiwa. tunajua hakuna aliejuu ya sheria ni vizuri ikaundwa tume kuchunguza marais na mawaziri waliopita kwa kuunda tume huru ili utumbuaji wa majipu ureflect walioyasababisha yakaota, yakaiva na sasa umekuja na mikasi unayatambua.
take it sir, kamtazamo ka layman.