Magufuli ana Ubaguzi kwa wakandarasi

kidumba

Member
Aug 16, 2013
72
66
Mgombea WA CCM muheshimiwa Magufuli kwenye kikao na wakandarasi uliahidi kulipa madeni ya wakandarasi lakini cha kusikitisha ni kwamba
Kwa tafsiri yako wakandarasi ni wale WA Barbara tu kwa sababu wako kwenye wizara unayoiongoza wengine si wakandarasi maana umepeleka pesa
TANROADS tu NA kusahau kuwa kuna wakandarasi wa Miradi ya maji vijijini hawajalipwa tangu January NA Miradi mingi imesimama na kati ya Barbara NA
maji ,maji ndo muhimu angalia ni asilimia ngapi ya wananchi WA vijijini wanasafiri kutumia Barbara zako NA angalia ni asilimia ngapi ya wananchi vijijini
Wanahitaji maji utakuta asilimia 100% ya wanakijiji wanatumia maji lakini labda asilimia 1% tu ndo wanatumia Barbara zako kusafiri,kwa akili ya haraka haraka huhitaji kubeba watu na
malori kuja kuwaomba kura unahitaji kukamilisha Miradi ya maji iliyosimama kwa muda mrefu ili update kura, mtu mwenye shida ya maji kijijini hawezi
Kuamka asubuhi hana maji hata ndoo moja eti akajipange foleni kukupigia kura badala ya kutafuta maji ya kupikia familia yake yanayopatikana kilomita ishirini toka kijijini kwake acha blabla tunahitaji vitendo ili update kura.Uliahidi kulipa wakandarasi lipa ili Miradi ikamilike la sivyo wananchi watapiga kura za hasira kwa CCM.
 
Back
Top Bottom