Magufuli ampiga dongo Balozi Ali Iddi

Balozi Ali Idd alishatangaza zamani kuwa anaacha siasa wewe unakuja na ngonjera hapa ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kaa mbali maana yake huyo balozi asiwashwewashwe au hata kushauri. Hiyo ni warning kwa balozi au sivyo atakutana na chuma cha uncle. Wanasema it is a friendly warning vinginevyo atakutana na friendly fire.
 
Mkuu Daudi Mchambuzi , naijua CCM nje ndani, mimi ni wale wana CCM wa Nyerere type. Wajumbe ni watu wa modern CCM, sifa za mtu kupata kura za kutosha ni mbinu na sio uwezo.

Kati ya sisi wagombea 176 tulio tangaza nia Kawe, miongoni mwetu kuna some very fine men, wana uwezo mkubwa sana wa uongozi lakini kufuatia wajumbe kuwa sio watu, hivyo watu wazuri tukaishia kupata kura moja na kura 0, halafu wenzetu watupu lakini wanye mbinu, wakalamba kura za kutosha!.
Mkuu Statement zako hazina logic....
Kama unaijua CCM kwahio uliyajua hayo yote...., na kama uliyajua hayo yote kwanini hukutumia hizo mbinu?, Na kama hauna hizo mbinu na ulijua mbinu zinahitajika kwanini ulipoteza muda wako? Conclusion huenda unadhani unaijua lakini huijui..., pia kumbuka hindsight is 20/20 jambo likishatokea unaweza ukaleta justification zozote zile....
 
Mimi nilifikiri Yuko bize kutaka kuongeza mke tu .
Screenshot_20201003-185538.png
 
Magu hajitambui tu.
Mara hii Sefu iddi hajagombea uwakilisha na ametangaza kuoumzika.
Sasa magu kama kawaida kuropoka

Kuna watu hawatakaa kupumzika. Wana fikiri ndio wenye Hati miliki ya Tanzania. Bila kuambiwa huwa wataleta shida na ujuaji
 
Kuna watu hawatakaa kupumzika. Wana fikiri ndio wenye Hati miliki ya Tanzania. Bila kuambiwa huwa wataleta shida na ujuaji
Mimi nawaza kweli Magu anaweza kuwa chini ya MTU ? Yaani awe rai kama Kikwete? Maana amezoea pesa zote na watu wote kuwa chini yake Nawaza atapata tabu sana
 
Mwengine ni Polepole ukimaliza uchaguzi anatupwa nje
Sasa huyo ni Bomu la petrol maana kauli zake zinaweza kabisa kuwasha machafuko ya nchi hii, anakera anakereketa anaudhi, anauchochezi fulani hivi!!
 
Ukiona hivyo ujue kuna afsa kipenyo kapenyeza umbea hapo.. na jamaa hana filter
 
Back
Top Bottom