Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,767
- 4,035
Naona pesa za walipa kodi zilikuwa zimekwapuliwa na CCM. Baada ya wananchi wa uvinza kulalamika, mkuu katoa amri hizo pesa zitolewe ndani ya wiki moja na ujenzi wa barabara uanze.
Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?
Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?
Swali ni je: Hao wananchi wasingeulizia, hizo pesa zilikuwa ziende wapi?
Kwa nini kama hizo pesa zilishatolewa, hazikupelekwa kwa wakati husika?