Magufuli ameukinai uwaziri..sasa apumzike

Status
Not open for further replies.

magessa78

JF-Expert Member
Sep 28, 2009
270
31
Pamoja na John Obhwarwa Magufuli kuonekana kama waziri pekee wa ccm mchapakazi,lakini kuna kitu kinachomfanya uchapakazi wake uonekane sio lolote.kitu hicho ni dharau.huyu bwana ana dharau ya hali ya juu.sijui kwa kuwa amekuwa waziri kwa muda mrefu sana takribani miaka 17 au sijui kwa kuwa tunamsifu sana ndo maana anakuwa hivi sipati jibu.juzi wakati naangalia TB-CCM1 wakati huyu bwana akitembelea barabara zinazojengwa dar alikaripia vikali mamlaka zingine za serikali zinazokwamisha ujenzi huo zikiwemo tanesco na dawasco.akamwagiza mfugale afuatilie mamlaka hizo na kama wakisuasua ataonana na mawaziri wa mashirika hayo..na kama hiyo haitoshi akasema kama mawaziri hao pia watasuasua ataenda kwa JK moja kwa moja kuwashtakia...lol!!niliduwaa!!

haya ni mambo ya kuongelea hukoo kwenye vikao vyao vya ndani (inter-ministrial meetings) sio kwenye vyombo vya habari bwana magufuli.sasa kama kuna waziri mhusika alikuwa anaangalia taarifa ile ya habari unadhani atakupa ushirikiano?atakukwepa tu.mimi nadhani this is too much for magufuli.anaropoka tu hadharani.hana busara hata kidogo.pamoja na uchapa kazi wake lakini bila busara ktk kutekeleza majukumu yake ni kazi bure. ndio kuna mambo ya sheria zaidi,lakini kuna mengine hayahusu sheria.atulize jazba.achape kazi.lakini pia kuna kitu najiuliza,kuugua kwa huyu bwana malaria ya mara kwa mara ndo yamemfanya hivi?yamechukua sehemu ya ufahamu wake?mi nadhani akili zake zimezidi sana kiasi kwamba anaonekana kuchanganyikiwa...

Apumzike sasa.aachie wengine waongoze.pamoja na uchapa kazi wake lakini hafai kuwa kiongozi.
 
Huyo nilishamstukia zamaani, anapenda sana ujiko.

Alipokuwa waziri wa Samaki alikuwa anaita waandishi hata kama amekamata "KOKORO" moja, lazima achome moto mbele ya ITV . Sasa sijui ndio ilikuwa kampeni ya kuangamiza Makokoro au kutafuta ujiko!
 
Wewe Ulitaka suala dogo la kusema na Kufuatia utekelezaji Lichukua Vikao zaidi ya Kumi Kulijadili!! Kweli wewe Unawakilisha Fungu la wakiritimba na wazembe!!
 
Pamoja na John Obhwarwa Magufuli kuonekana kama waziri pekee wa ccm mchapakazi,lakini kuna kitu kinachomfanya uchapakazi wake uonekane sio lolote.kitu hicho ni dharau.huyu bwana ana dharau ya hali ya juu.sijui kwa kuwa amekuwa waziri kwa muda mrefu sana takribani miaka 17 au sijui kwa kuwa tunamsifu sana ndo maana anakuwa hivi sipati jibu.juzi wakati naangalia TB-CCM1 wakati huyu bwana akitembelea barabara zinazojengwa dar alikaripia vikali mamlaka zingine za serikali zinazokwamisha ujenzi huo zikiwemo tanesco na dawasco.akamwagiza mfugale afuatilie mamlaka hizo na kama wakisuasua ataonana na mawaziri wa mashirika hayo..na kama hiyo haitoshi akasema kama mawaziri hao pia watasuasua ataenda kwa JK moja kwa moja kuwashtakia...lol!!niliduwaa!!

haya ni mambo ya kuongelea hukoo kwenye vikao vyao vya ndani (inter-ministrial meetings) sio kwenye vyombo vya habari bwana magufuli.sasa kama kuna waziri mhusika alikuwa anaangalia taarifa ile ya habari unadhani atakupa ushirikiano?atakukwepa tu.mimi nadhani this is too much for magufuli.anaropoka tu hadharani.hana busara hata kidogo.pamoja na uchapa kazi wake lakini bila busara ktk kutekeleza majukumu yake ni kazi bure. ndio kuna mambo ya sheria zaidi,lakini kuna mengine hayahusu sheria.atulize jazba.achape kazi.lakini pia kuna kitu najiuliza,kuugua kwa huyu bwana malaria ya mara kwa mara ndo yamemfanya hivi?yamechukua sehemu ya ufahamu wake?mi nadhani akili zake zimezidi sana kiasi kwamba anaonekana kuchanganyikiwa...

Apumzike sasa.aachie wengine waongoze.pamoja na uchapa kazi wake lakini hafai kuwa kiongozi.

Watanzania mnataka waziri wa aina gani?Pana ubaya wowote waziri akisoa uwajibikaji mmbovu waziri mwenzie?Kukosoa ni kukumbusha sioni ubaya katika hili labda lile la wananchi kitakiwa kupiga mbizi kama hawana pesa ya kulipia kivuko.
 
Magessa amenishangaza sana. Mtu kufuata sheria na kuweza kukemea basi ni dharau. Wanganyika tuna taabu sana. Mchapa kazi yoyote na muwazi nchi hii hapendwi. Ila mkulo ndio hana dharau?
 
Pamoja na John Obhwarwa Magufuli kuonekana kama waziri pekee wa ccm mchapakazi,lakini kuna kitu kinachomfanya uchapakazi wake uonekane sio lolote.kitu hicho ni dharau.huyu bwana ana dharau ya hali ya juu.sijui kwa kuwa amekuwa waziri kwa muda mrefu sana takribani miaka 17 au sijui kwa kuwa tunamsifu sana ndo maana anakuwa hivi sipati jibu.juzi wakati naangalia TB-CCM1 wakati huyu bwana akitembelea barabara zinazojengwa dar alikaripia vikali mamlaka zingine za serikali zinazokwamisha ujenzi huo zikiwemo tanesco na dawasco.akamwagiza mfugale afuatilie mamlaka hizo na kama wakisuasua ataonana na mawaziri wa mashirika hayo..na kama hiyo haitoshi akasema kama mawaziri hao pia watasuasua ataenda kwa JK moja kwa moja kuwashtakia...lol!!niliduwaa!!

haya ni mambo ya kuongelea hukoo kwenye vikao vyao vya ndani (inter-ministrial meetings) sio kwenye vyombo vya habari bwana magufuli.sasa kama kuna waziri mhusika alikuwa anaangalia taarifa ile ya habari unadhani atakupa ushirikiano?atakukwepa tu.mimi nadhani this is too much for magufuli.anaropoka tu hadharani.hana busara hata kidogo.pamoja na uchapa kazi wake lakini bila busara ktk kutekeleza majukumu yake ni kazi bure. ndio kuna mambo ya sheria zaidi,lakini kuna mengine hayahusu sheria.atulize jazba.achape kazi.lakini pia kuna kitu najiuliza,kuugua kwa huyu bwana malaria ya mara kwa mara ndo yamemfanya hivi?yamechukua sehemu ya ufahamu wake?mi nadhani akili zake zimezidi sana kiasi kwamba anaonekana kuchanganyikiwa...

Apumzike sasa.aachie wengine waongoze.pamoja na uchapa kazi wake lakini hafai kuwa kiongozi.

kwanza unamzungumzia magufuli yupi?? pombe ama obarwa mana hilo jina sijawahi kulisikia toka nizaliwe...

Huyo anafanya makusudi na hakuna waziri muongo kamahuyo..aliwazingua tanroads kuhusu mradi wa darts eti ooh nawaagiza mwalipe makandarasi bil 280 wakati anajua wazi serikali yake chupi imetoboka mufilisi..huyo hana tofauti na wahaya wengine..Misifa ya Kijinga tu..Mpssxxyy!!
 
uwajibikaj sio kufanya kazi kwa makelele hamna utendaji wa namna hiyo dunian wa kufanya kaz kinafiki, kama pana ulegevu wo wote walimalize kwenye baraza la mawazir

Kama ndani ya baraza hasikilizwi lazima awaambie wapiga kura kuwa fulani ni mzembe. Magufuli we endelea na kazi za barabara
 
Mfano hao Dawasco,TANESCO na TRA wangetimiza wajibu wao Magufuri angeongea hayo?
Hawa wakandarasi wana exemption sasa magari yao bandarini yanangoja nini kwa siku 7.
To me alichofanya ni sawa sawa kabisa tena ingebidi ampe mtu tusi la mama kabisa.
Huu sio ulimwengu wa kuchekeana chekeana ndo maana jirani zetu na ulimwengu wanatuona watu wa blah blah!
Magufuri big up TRA wasipotoa magari kayasimamie mwenyewe yatoke the same to Nguzo za umeme na mabomba ya maji
 
obhwarwa maana yake ni pombe..kama magufuli hasikilizwi na wenzie anadhani akiropoka ovyo ovyo ndo atasikilizwa?!mnafiki yule
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom