Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,359
2,000
Hakuna aliyetegemea Magufuli kuweza kuivuruga ngome iliyojitengeneza zaidi ya miaka 20.

Teamlowassa imehangaika na kuwekeza kwenye urais kwa muda mrefu sana.

Pamoja na kutumia kick ya Chadema Magufuli ameweza kuisambaratisha ngome hiyo iliyopewa jina la 'moto wa mabua'

Nashuhudia jembe Magufuli likichanja mbuga na kujizolea wapiga kura na sio wapiga debe wa watsapp.

Magufuli ameshatembea zaidi ya mikoa 13 na ana jeshi la ardhini lililotapakaa kila wilaya nchini.

Magufuli anatoa hoja tu...hana blah blah na hataki kujibu matusi na vijembe vya Ukawa.

Magufuli ameingia kwa kasi ya ajabu kwenye mitandao ya kijamii ndani ya kipindi cha miezi miwili tu.

Magufuli amewachanganya zaidi UKAWA kwa kuahidi kwa msisitizo kuwa kiama cha mafisadi kinakuja Ukawa wanashindwa kujinasua na hoja hii ya muda mrefu kwa kuwa wamenyakua Mafisadi wakuu na kuwafanya miti ya bendera.

Magufuli amesababisha waliodhamiria kujiunga na makapi wanabadili msimamo kadri siku zinavyoenda.

Magufuli ameanza kuwarudisha ccm wale chadema asilia.

Magufuli ameanza kuleta mvutano na mpasuko ndani ya UKAWA.

#Hapakazitu
 
Haliali

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
574
195
Hakuna aliyetegemea Magufuli kuweza kuivuruga ngome iliyojitengeneza zaidi ya miaka 20.

Teamlowassa imehangaika na kuwekeza kwenye urais kwa muda mrefu sana.

Pamoja na kutumia kick ya Chadema Magufuli ameweza kuisambaratisha ngome hiyo iliyopewa jina la 'moto wa mabua'

Nashuhudia jembe Magufuli likichanja mbuga na kujizolea wapiga kura na sio wapiga debe wa watsapp.

#Hapakazitu

hahahahaha
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,855

Jingalao ni mjinga kuliko mkuu wa majinga
 
kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,593
2,000
wafuwasi wa lowassa hawajielewi. Eti wanamwambia ni mgodi unaotembea
 
Attachments

  • sing.jpg
    File size
    161.8 KB
    Views
    1,836

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom