Magufuli alivyoitekeleza ilani ya CCM kikamilifu ndani ya mwaka mmoja

Mondoros

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
629
472
1. Kulifufa shirika la ndege la taifa, kanunua ndege 2 zilizoanza kazi,ametoa order ya ndege zingine mpya 4 kubwa na za kisasa
2. Uanzishaji wa mahalama ya mafisadi, sheria ipo tayari, jingo limekamilika, majaji wapo tayari ma kesi zimeshaanza kusikilizwa
3. Mikopo kwa wanafunzi, fedha za kukopesha wanafunzi zimeongezwa kwa billion 90 toka fedha za mwaka uliopita na wanafunzi wanufaika kwa mikopo wameongezeka kwa zaid ya 30,000 ndani ya mwaka mmoja
4. Nidhamu kwa watumishi wa serikali imeongezeka kwa kiasi kikubwa na uzalishaji wao umeongezeka kwa kiasi kikumbwa,,,sasa utaona kuna heshima baina ya mtumishi wa serikali na mpata huduma
5. Viwanda vipya zaid ya 5000 vilimeanzishwa
6. Kodi katika vifaa vya kilimo na bidhaa za kilimo kupunguzwa
7. Makusanyo ya serikali yamepanda kwa wastani wa zaidi ya billion 400 kwa mwezi
8. Bandari ya dar es salaam imekuwa kitovu muhimu kwa uchumi wa taifa
9. Wanaoharibu katika serikali inakula kwao jumla
10. Kupunguzwa kwa matumizi ya kawaida ya serikali(kubana matumizi) na kuongezwa kwa bajeti ya maendeleo na kufikia 40%
11. Safari za nje zimepunguzwa kwa zaid ya asilimia 90 kwa watumishi wa serikali
12. Kubadili mentality ya watanzania kutoka kwenye kupata fedha za dili mpaka kufanya kazi
13. Kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kidoplomasia EAC, SADC, India, cuba, Italy,china nk
14. Ujenzi wa mabweni chuo kikuu cha Dar Es Salaam
15. Kurejesha heshima ya nchi kimataifa
16. Kutekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchin kama maji,barabara,umeme nk
17. N.k
Kwa kasi hii ya Magufuli nachelea kusema kuwa kuna uwezekano ilani ya ccm ikatekelezwa kabla ya mwaka 2019………..baadae ntatoa mafanikio ya UKAWA ndani ya mwaka mmoja katika kumkwamisha Magufuli………..
 
Back
Top Bottom