Magufuli alikoroga, Maandamano makubwa kumpinga leo

kwangu mimi kupanda kwa nauli sio ishu sana ni kitu kinachozungumzika kama ikionekana inafaa ikarekebishwa. Ishu kubwa kwangu ni kejeli na madharau. Sasa kama anaanza kuleta dharau namna hii akiwa waziri anaeutolea urais udenda, akiupata itakuwa nongwa!
 
Aiseee
 
Dalili zote tuliziona miaka mingi tu na bado Kikwete na mwenzie Mkapa wakampitisha!! Je, anastahili kurudi tena? jibu wengi tunalijua. Je, kutakuwa na watu ndani ya ccm watakaosimama hadharani na kusema HAFAI au wataendelea kunong’ona nyuma ya mapazia!? Tusubiri tuone.

Back
Top Bottom