Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Mabadiliko wanayoyataka watanzania lazima yaainishwe na lazima ieleweke si mabadiliko ya vitambaa au vyama kama ambavyo wengi wa wanasiasa wetu wanahubiri, mfano wa mabadiliko ni mtazamo na aina ya kiongozi wanaemtaka na si kwa historia ya kukaa kwake serikalini na uzoefu wake katika nafasi kubwa na kujenga magenge makubwa ya mafisadi. watanzania wanataka kubadili utendaji wa kazi kwa watumishi ktk kutoa huduma za jamii, kama afya, elimu na nk.ikiwemo kukomesha rushwa na kuongeza tija ktk uwajibikaji
 
Mwana kulitafuta mwana kuliget.
Huyu bila Fiesta Tume na polis ni mwepesi kama karatasi.

Chema chajiuza kibaya chajitembeza
 


Hali ilitisha sijui safari hii itakuwaje. Magu akafanye siasa za kiungwana na sio kufokea waheshimiwa wapiga kura
Magufuli ndio maana haipendi Mbeya na katika kipindi chake amekanyaga mara moja tu tena baada ya kuahirisha mara kibao wakiusoma upepo hadi walipomfunga Sugu ndio akaenda.
 
Wanambeya huyu baba hakikisheni harudi Ikulu, akirudi hizi hasira zitaanzia kwa Sugu.
Mkuu asirudi kwa nguvu gani wapinzani walionayo?

Uhalisia wa mambo haupo mitandaoni.

Kwetu kuna Diwani wa CCM WANANCHI wamemchoka CHADEMA WENYEWE KWA WENYEWE WANAFANYIANA visa

A. C. T wanapepea nao na bendera yao kivyao.

Alafu mnafarijiana JF JPM harudi mwaka huu?

Mgombea KUHUSU ISHU SUGU hata Mbowe ametuambia nini kitajiri endapo wakichukua nchi kupitia TBC.

Bila shaka wataanza na Bashite wanasiasa Africa ni the same aise.
 
Magufuli ndio maana haipendi Mbeya na katika kipindi chake amekanyaga mara moja tu tena baada ya kuahirisha mara kibao wakiusoma upepo hadi walipomfunga Sugu ndio akaenda.
Maliza kwa kusema CCM haiipendi Mbeya ila CCM inaipendWA na wana Mbeya.

Waweza nipa rekodi ya Raisi aliyewahi onesha mahaba kwa wana Mbeya?
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Usanii.jpg
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom