Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Kabla ya kusifia huu uhuni jiulize, je wewe unaweza kwenda kwenye mkutano wa mgombea usiyemtaka kwenda kuimba jina la mgombea mwingine? Ukiona huwezi kufanya hivyo jiulize, what is wrong with these kids?

Huo haukuwa mkutano uliopangwa, magufuli alisimama pale akielekea mbarali ambako mkutano ulipangwa kufanyika lengo lilikuwa ni kuongea na yeyoye aliye tayari kumsikiliza , sasa kilichotokea ni kwamba wengi hawakuwa tayari kumsikiliza , sio uhuni wala vurugu ndio maana hata huyo aliyekuwa anazunguka na nguo za ccm hakufanyiwa vurugu yoyote .
Magufuli alidanganywa na ile nyomi alipoenda kwenye kampeni mbeya , watu walienda kuangalia burudani ya bure ya wasanii , ila hali halisi ya mbeya ndio kama hivi
 
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa,UKAWA UTOTO NA UJINGA
 
Nani alimwambia asimame pale?ukawa walijuaje atasimama pale na kuandaa kikundi?!??
Yaani ccm bure kabisa akili

kwa siasa hizi mtakuja kutolewa vishipa..jihadhalini sana na ushabiki uchwala....kama wangeamua kuwashushia kipigo sijui mngesema nini!!
 
haya maigizo ya ccm kumbe ndo mana wanaasema ukawa wana maigizo kumbe wanajua wanachofanya wao
 
na kura za urais tutabandika kituoni tutajumilisha na casio zetu
ole wao
 
leo asubui magufuli wakati akipita mbeya
kakutana na zomea zomea
eneo la mwanjelwa na uyole
kuna wana ccm walipangwa wamzuie ili ionekane wananchi wamemsimamisha azungumze
kibao kikageuka watu wakaanza kukimbia nakuanza kumzomea
ccm acheni maigizo leo yamewaponza


chezea sifa za magufuli wewe
 
Hamumtaki leo wakati mlijazana kwa maelfu kumshangilia wakati alipokuja kufanya kampeni.

Hivi bado hujajua kama kuna kuwa na matukio mawili, fiesta na kampeni, wengine wanaenda kwenye fiesta
 
Safi sana Mbeya... halafu magufuli kama chizi vile anasema eti watu walibubujikwa na furaha na kumshangilia sana hadi akashindwa kuendelea ...
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom