Triplets
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 1,146
- 202
Kabla ya kusifia huu uhuni jiulize, je wewe unaweza kwenda kwenye mkutano wa mgombea usiyemtaka kwenda kuimba jina la mgombea mwingine? Ukiona huwezi kufanya hivyo jiulize, what is wrong with these kids?
Huo haukuwa mkutano uliopangwa, magufuli alisimama pale akielekea mbarali ambako mkutano ulipangwa kufanyika lengo lilikuwa ni kuongea na yeyoye aliye tayari kumsikiliza , sasa kilichotokea ni kwamba wengi hawakuwa tayari kumsikiliza , sio uhuni wala vurugu ndio maana hata huyo aliyekuwa anazunguka na nguo za ccm hakufanyiwa vurugu yoyote .
Magufuli alidanganywa na ile nyomi alipoenda kwenye kampeni mbeya , watu walienda kuangalia burudani ya bure ya wasanii , ila hali halisi ya mbeya ndio kama hivi