Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

Sasa Chadema mna hofu ya Nini wakati Mhesh Tundu Lissu atakuwa Rais badala ya Magufuli?

Kauli ya JPM haina athari yeyotekwa Watanzania hivyy hakuna umuhimu wa kuijadili!
 
Kuna wakati natamani Magufuli asipigiwe kura hata moja ili tuone atafanyeje maana anakera kujifanya anajua na Ana uhakika wa kuwa rais
 
Hata Tunduma mnalazimishwa kuuza haki zenu ili mpewe maji yenu ambayo yanatokana na kodi zenu, Rais wa nipe kitu kidogo nami nikupe maji!
Vitambulisho vya machinga ndio vilete maji? Hawachagui wdc wawaletee maji
 
Siasa za kipuuzi. Kwani hayo maji anaunganisha toka Chato.

Ardhi hii ni mali ya waTanzania na wote wana haki sawa. Acha kuligawa Taifa hili vipande vipande.

Itatugharimu na hatima yake malipo ni hapa hapa huko mbele ni hukumu tuu.

Silinde unawaumiza watu unaowaomba wakupe kura. Na hatukupi ng'o!!
 
Mkimchagua kwa nguvu mtakuwa wapumbavu kiburi hicho ndio mngemfunza adabu kabisa mtu madaraka yamemlevya mpaka anasahau nyinyi wananchi ndio waajiri wake.

Mfunzeni adabu nchi nzima atambue hatuishi kwa mfuko wake tunaishi kwa kodi zetu.
 
Hivi kwanini kila anayekuwa kinyume na mwenyekiti wenu anakuwa msaliti?.

Mule kwenye lile genge lenu, wote wazalendo?. Hakuna chama, chenye watu wanafiki na wasaliti kama ninyi.
 
Kulingana na kanuni za uchaguzi mkuu, Magufuli amekosa sifa za kugombea Urais baada ya hilo tamko lake la kibaguzi. Hata waliokuwa makaburu wa Afrika Kusini hawakuwa na sera kama hiyo ya kutowapa maendeleo baadhi ya wananchi waliomnyima kura huku wakitozwa kodi.

Mapinduzi makubwa duniani kote yalikuwa na kaulimbiu iliyosema No taxation without representation (hakuna kutoza kodi bila uwakilishi) Je hii ndiyo anayotaka Magufuli kwa Tanzania?

Taxation without representation describes a populace that is required to pay taxes to a government authority without having any say in that government's policies.
 
Back
Top Bottom