Magufuli ajizuia kuonyesha udini, Tarimba ashindwa

Halafu waziri anasema eti nchi nzima wamefariki watu 4 tuu kwa dengue.Sasa familia moja hiyo watoto 2 jee zingine?
HALAFU KWA NINI BIMA YA NHIF HAIKUBAL8 KUPIMA DENGUE KATIKA HOSPITAL ZA PRIVATE???
WAZIRI WA AFYA HILI NI JANGA VIPIMO HIVI VIWE KILA MAHALI TENA BURE KUPIMA
 
Halafu waziri anasema eti nchi nzima wamefariki watu 4 tuu kwa dengue.Sasa familia moja hiyo watoto 2 jee zingine?
HALAFU KWA NINI BIMA YA NHIF HAIKUBAL8 KUPIMA DENGUE KATIKA HOSPITAL ZA PRIVATE???
WAZIRI WA AFYA HILI NI JANGA VIPIMO HIVI VIWE KILA MAHALI TENA BURE KUPIMA
Ni bule kupima Mkuu tayari serikali imetangaza,labda hiyo ya hospitali binafsi ndio ishughulikiwe.
 
Mtaacha lini kuona udini kwenye kila kitu? Kumwomba Mungu ni dini, na kila mwombaji hufanya hivyo kwa kadiri ya imani yake. Kuomba kwa kutumia imani ambayo huiamini ni unafiki, unakuwa huna nia na hilo unaloomba, ni sawa na kumpa mtu kitu ambacho unajua kabisa hakina manufaa. Ukitaka kumpa mtu kitu uonekane una nia nzuri, mpe kile ambacho hata wewe mwenyewe unakitumia, siyo kile ambacho wanaokitumia unawakosoa nacho. Wengine mtadhani kuwa ukimpa mtu kile unachokiamini atakikataa, si kweli, ataiona dhamira yako kuwa ni njema kwa sababu kile anachokiamini yeye anacho tayari, nyongeza ni kumpa mtu kile asichokuwa nacho.
Mwislamu akiniambia ananiombea dua nitapenda afanye hivyo kwa mujibu wa dini yake, hapo nitaamini ananitakia yaleyale ambayo hata yeye mwenyewe angependa kuyapata kama angekuwa katika changamoto hii, na ninaamini hiyo ndiyo dhamira anayoisoma Mungu katika kujibu maombi.
 
ingekuwa famiia za ajabu ajabu hamkawii wana familia kushikana uchawi kwamba mzee katoa kafara!!
 
Hili janga la homa ya Dengue analilea Rais Magufuli na wateule wake.....RC Makonda ameshindwa kabisa kuliongoza jiji la Dar es Salaam....kipindupindu Dar,uhalifu Dar,Dengue Dar RC anashinda kwenye ghafla za kipumbavu kutafuta umaarufu wa kisiasa tu.
 
Back
Top Bottom