wadau mnisaidie ufafanuzi wa hii kitu inaitwa "money retention fee" maana ninachokiona ni kama hii mikopo ya wanafunzi inataka kugeuzwa kama mikopo ya kibiashara
Afadhali nimemsikia Shonza live for the first time. Amevuma sana kwenye mitandao ila nilivyomsikia na uwezo wake wa kujenga hoja duh. Kweli political marketing nayo ina impact kubwa. Hongera kwa kuwa nawe sasa ni mbunge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.