Magufuli, ajaye ataweza wewe ukijenga taasisi imara za kisheria na kikatiba

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,768
Mh. Rais pole na majukumu na pole kwa kazi kubwa unayoifanya iliyo ngumu na nzito ya kuliletea taifa hili maendeleo. Mh nimekusikia ukilalamika kwa kazi nzito unayokumbana nayo kama kiongozi wa nchi.

Naomba kutumia uelewa wangu kwenye masuala ya utawala na sheria kukushauri jambo ili uache "Legacy" kubwa kwenye hili taifa labda kuliko hata legacy ya nyerere "JENGA TAASISI IMARA ZENYE NGUVU KIKATIBA NA KISHERIA" hata huyo anaekuja itabidi azitatue hizo changamoto unazoona au kuhisi haziwezi tatuliwa, Ukiacha taasisi imara zitamlazimisha rais na mtu yeyote yule chini ya jamhuri kutii sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na kuongeza uzalendo kwa taifa.

Mh. Rais ni ngumu sana kwenye utawala wa nchi wewe kama binadamu kutatuwa matatizo mbalimbali kwa nguvu zako mwenyewe. Kwa mfano suala la rushwa. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa labda iende ikaige huko "South Korea" au "Malaysia" ambapo hizo taasisi zimeweza kuwachukulia hatua hadi maraisi kwa kujihusisha na rushwa.

Hamna sababu kila rais ajaye tuwe tunaombea kupata a " strong man" kama wewe, hata ikitokea bahati mbaya tumebugi kama taifa tukapata rais dhaifu au mpigaji basi tutamuwa na amani kama taifa sababu tunauhakika kuna taasisi zitamdhibiti.

Nakuomba na kukusihi mh. Rais kama unauzalendo na kulipenda taifa lako na kuiangalia Tanzania miaka 100 ijayo ambapo sisi hatutakuwepo basi tuachie katiba bora kabisa yenye uwezo mkubwa wa kuiendesha nchi na kuondoa kabisa dhana ya "strong man". Kati ya vitu vilivyofanya wazungu waendelee ni kuwa na taasisi imara.

KATIBA, KATIBA, KATIBA MPYA na itakayotengenezwa sio kwa maslahi ya wanasiasa bali inayoangalia maslahi ya taifa ndio mwiba utaomchuma huyo Rais ajaye atakayeshindwa kutatua hizo changamoto.

Naomba kuwasilisha.
 
jana ameongea kauli ya hatari na ya ajabu sana, kuwa eti ni yeye tu anayeweza kuleta maendeleo na akija mwingine tusahau. Sijui anafikiri kwa kutumia nini kwamaana vyanzo vingi vya mapato anavyovitumia kufanyia miradi inayoitwa ya "maendeleo" viliasisiwa awamu ya 3. miundombinu mingi anayo itumia imejengwa awamu ya 4. Apambane kujenga taasisi imara na aachane na mawazo ya kishetani ambayo mwisho wake ni kaburi la nchi nzima.
 
Ushauri mzuri ila mda umesha isha miaka mitano yote potea kaimaliza kwenye ku teua na ku tengua.....miaka mitano ijayo wenye chama wanahitaji chama chao, chochote kinawezekana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jana ameongea kauli ya hatari na ya ajabu sana, kuwa eti ni yeye tu anayeweza kuleta maendeleo na akija mwingine tusahau. Sijui anafikiri kwa kutumia nini kwamaana vyanzo vingi vya mapato anavyovitumia kufanyia miradi inayoitwa ya "maendeleo" viliasisiwa awamu ya 3. miundombinu mingi anayo itumia imejengwa awamu ya 4. Apambane kujenga taasisi imara na aachane na mawazo ya kishetani ambayo mwisho wake ni kaburi la nchi nzima.
Hata Idd Amin aliwaaminisha hivyo Waganda
 
Nikifikiria democracy ya jk na haikuleta matunda

Kwa sisi wa chini
Tukipata maji
Umeme
Barabara
Huduma bora za afya
Elimu bora sambamba na miundombinu yake
Uhuru wa kuabudu

Vinatutosha sana hayo matakataka yenu makatiba mahaki sijui nini peleka kwenenu kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikifikiria democracy ya jk na haikuleta matunda

Kwa sisi wa chini
Tukipata maji
Umeme
Barabara
Huduma bora za afya
Elimu bora sambamba na miundombinu yake
Uhuru wa kuabudu

Vinatutosha sana hayo matakataka yenu makatiba mahaki sijui nini peleka kwenenu kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haujui umuhimu wa utawala wa sheria
 
Nachoshukuru kuna watu ni Wazalendo kweli kweli mnaendelea kushauri tuu...anasema hakuna atakaejenga Nchi hii kama mimi bado niendelee kushauri tuu itakua najidanganya mwenyewe maana ashaona hakuna anaeweza wala aliefanya chochote zaidi yake...
 
Kiukweli magufuli aliombe radhi taifa. Haiwezekani watz zaidi ya m60 atuone ni matahira hatuwezi kuongoza nchi isipokuwa yeye tu.
 
Hamna ameendeleza taifa lolote lile duniani kwa maarifa yake pekee
 
Idd Amini wa uganda kulikuwa na watu wanashangilia kila akitoa hotuba zake .hata akisema Mugu amezungumza nae wanapiga makofi naye akisikia watu wanasifia na kupiga makofi anajiona yuko peponi kumbe tu wamekosa fursa
 
Mh. Rais pole na majukumu na pole kwa kazi kubwa unayoifanya iliyo ngumu na nzito ya kuliletea taifa hili maendeleo. Mh nimekusikia ukilalamika kwa kazi nzito unayokumbana nayo kama kiongozi wa nchi.

Naomba kutumia uelewa wangu kwenye masuala ya utawala na sheria kukushauri jambo ili uache "Legacy" kubwa kwenye hili taifa labda kuliko hata legacy ya nyerere "JENGA TAASISI IMARA ZENYE NGUVU KIKATIBA NA KISHERIA" hata huyo anaekuja itabidi azitatue hizo changamoto unazoona au kuhisi haziwezi tatuliwa, Ukiacha taasisi imara zitamlazimisha rais na mtu yeyote yule chini ya jamhuri kutii sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na kuongeza uzalendo kwa taifa.

Mh. Rais ni ngumu sana kwenye utawala wa nchi wewe kama binadamu kutatuwa matatizo mbalimbali kwa nguvu zako mwenyewe. Kwa mfano suala la rushwa. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa labda iende ikaige huko "South Korea" au "Malaysia" ambapo hizo taasisi zimeweza kuwachukulia hatua hadi maraisi kwa kujihusisha na rushwa.

Hamna sababu kila rais ajaye tuwe tunaombea kupata a " strong man" kama wewe, hata ikitokea bahati mbaya tumebugi kama taifa tukapata rais dhaifu au mpigaji basi tutamuwa na amani kama taifa sababu tunauhakika kuna taasisi zitamdhibiti.

Nakuomba na kukusihi mh. Rais kama unauzalendo na kulipenda taifa lako na kuiangalia Tanzania miaka 100 ijayo ambapo sisi hatutakuwepo basi tuachie katiba bora kabisa yenye uwezo mkubwa wa kuiendesha nchi na kuondoa kabisa dhana ya "strong man". Kati ya vitu vilivyofanya wazungu waendelee ni kuwa na taasisi imara.

KATIBA, KATIBA, KATIBA MPYA na itakayotengenezwa sio kwa maslahi ya wanasiasa bali inayoangalia maslahi ya taifa ndio mwiba utaomchuma huyo Rais ajaye atakayeshindwa kutatua hizo changamoto.

Naomba kuwasilisha.
Umenena vema sana ndugu , TAASISI IMARA ZENYE NGUVU KIKATIBA NA KISHERIA NDIO SULUHISHO..

Sidhani ni vigumu kufahamu taasisi na mfumo mzuri unafanya kazi kwenye jamii iliyostaarabika..tatizo la tanzania siyo ukosefu wa taasisi imara na mifumo ya utawala, tatizo ni aina ya watu walivyo..taasisi imara haijiendeshi yenyewe inasimamiwa na watu, wasimamizi wasipokuwepo hakuna litakalofanyika..attitude na behavior za watanzania ni tatizo kubwa, selfishness, udini, ignorance nk ndiyo kwanza yanapaswa kupatiwa ufumbuzi kabla hata ya kuwa na taasisi imara! kazi ya Rais inakuwa ngumu sababu ya mambo niliyotaja, unaweza usihitaji sheria kuondoa ubinafsi au udini uliopo ndiyo utafanikiwa.
 
Mh. Rais pole na majukumu na pole kwa kazi kubwa unayoifanya iliyo ngumu na nzito ya kuliletea taifa hili maendeleo. Mh nimekusikia ukilalamika kwa kazi nzito unayokumbana nayo kama kiongozi wa nchi.

Naomba kutumia uelewa wangu kwenye masuala ya utawala na sheria kukushauri jambo ili uache "Legacy" kubwa kwenye hili taifa labda kuliko hata legacy ya nyerere "JENGA TAASISI IMARA ZENYE NGUVU KIKATIBA NA KISHERIA" hata huyo anaekuja itabidi azitatue hizo changamoto unazoona au kuhisi haziwezi tatuliwa, Ukiacha taasisi imara zitamlazimisha rais na mtu yeyote yule chini ya jamhuri kutii sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na kuongeza uzalendo kwa taifa.

Mh. Rais ni ngumu sana kwenye utawala wa nchi wewe kama binadamu kutatuwa matatizo mbalimbali kwa nguvu zako mwenyewe. Kwa mfano suala la rushwa. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa labda iende ikaige huko "South Korea" au "Malaysia" ambapo hizo taasisi zimeweza kuwachukulia hatua hadi maraisi kwa kujihusisha na rushwa.

Hamna sababu kila rais ajaye tuwe tunaombea kupata a " strong man" kama wewe, hata ikitokea bahati mbaya tumebugi kama taifa tukapata rais dhaifu au mpigaji basi tutamuwa na amani kama taifa sababu tunauhakika kuna taasisi zitamdhibiti.

Nakuomba na kukusihi mh. Rais kama unauzalendo na kulipenda taifa lako na kuiangalia Tanzania miaka 100 ijayo ambapo sisi hatutakuwepo basi tuachie katiba bora kabisa yenye uwezo mkubwa wa kuiendesha nchi na kuondoa kabisa dhana ya "strong man". Kati ya vitu vilivyofanya wazungu waendelee ni kuwa na taasisi imara.

KATIBA, KATIBA, KATIBA MPYA na itakayotengenezwa sio kwa maslahi ya wanasiasa bali inayoangalia maslahi ya taifa ndio mwiba utaomchuma huyo Rais ajaye atakayeshindwa kutatua hizo changamoto.

Naomba kuwasilisha.
Mwalimu alikazania ELIMU ili kujenga jamii ya watu wastaarabu, ALISHINDWA! fikiria 95% ya watanzania wanaamini nguvu za kishirikina katika maisha yao ya kila siku..ujue changamoto za maendeleo tulizo nazo ni kubwa zaidi ya kuwa na uongozi mzuri, taasisi imara, mifumo mizuri ya utawala nk.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom