Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

Kama habari ni kofuli, hii ya kwako Bikini. Sijui ndio unawahi kuwa wa kwanza kutueleza au ndio ubongo umegota.

Tuanzie hapa, Molongo ni nani?
 
Full kujuana,mama bupilipili nae kawa Mkuu wa wilaya,hahahaahaha alikuwa warden wetu hall three msukuma mwenzangu,nakumbuka alifiwa na mwanae, Magufuli alikuwepo kwenye kuaga mara ya mwisho pale UDSM chapel
Lazima,hii ni serikali ya kujuana.
 
Safu ya Uongozi wa Hapa Kazi Tu inazidi kutimia taratibu ila kwa uhakika
 
Sijaelewa wameletwa ubungo kupambana na ukawa au matatizo yaliyomo,kubenea kubenea ,kumbe anawasumbua
 
Hapo uongozi umetulia sana. Naomba namie hata ukurugenzi nijaze nafasi zilizoachwa wazi.
 
Back
Top Bottom